Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Sasa mkuu umeleta taarifa nzuri tena muda muafaka kama huu January halafu husemi jinsi gani tutawapata hao majini? Acha kubana tupe namba zao basi tumalizane wenyewe.Wengine hawaamini bhana
Sasa mkuu umeleta taarifa nzuri tena muda muafaka kama huu January halafu husemi jinsi gani tutawapata hao majini? Acha kubana tupe namba zao basi tumalizane wenyewe.Wengine hawaamini bhana
Mkuu mie nataka mali na papuchi maana inasemekana na watamu kupita maelezo."sijui ni kweli.unataka papuchi au mali?
Mnato zaidi ya superglueMbona upande wa Papuchi zao zikoje
Huu unaitwa ULOKOLE FEKIMajini ni mashetani. Hayana faida yeyote katika maisha ya mwanadamu!
Aya za maandishi???? Client kiswahili fasaha ni 'haya' yaani kukubali.
Lugha nayo taabu,inaandikwa 'bwana'sio bhana.Wengine hawaamini bhana
Havionekani kwa macho na nyama,sasa vinaonekana kwa chombo gani??? This is incredible rubbish.Unajua mkuu kuna viumbe wanaoonekana na wasioonekana sawa??ndo mana wakatoliki katika sala zao husema Mungu muumba wa vitu vinavyoonekana na visivyoonekana xo vitu vya ulimwengu wa roho huwez ona kwa macho ya damu na nyama mpk vitakapojidhibitisha kwako zenyewe
Kwa darubini gani???.Kinaonekana
Wewe ndo unazingua,thibitisha tutayaonaje hayo majini halafu yakionekana tuyapige picha za video ili kila mtu ayaone.Hamna umezingua![]()
![]()
![]()
![]()
Eleza kinaonekana vipi ili tuone wote tusadiki.Kinaonekana
Wewe Client,umefunga ndoa na jini? Kama jibu ni ndio tunaomba utuoneshe huyo jini wako na utajiri unaoumiliki.Hii mada imekaa Kiarabu arabu.Kama nilivyotangulia kusema mada hii haichangamani na elimu ya sayansi na wote na watu wote wanaoshabikia mambo ya kusadikika wamepungikiwa na elimu ya sayansi kwa kiwango kikubwa.Angalia Mwaarabu mwenyewe ambako ndiko chimbuko la haya madudu amekuwa mtu mweupe wa mwisho duniani kwa ujinga kisayansi na kiteknolojia.Hakuna kitu chochote anachoweza kutengeneza Mwarabu,hata pini ya kufungia nepi hawezi.Kila kitu anafanyiwa na wazungu.Mafuta anachimbiwa na wazungu,majengo mazuri yanajengwa na wazungu,miundo mbinu imejengwa na wazungu na mambo ya anasa zote anafanyiwa na wazungu.Kutokana na kupungukiwa na elimu katika nyaja zote mzungu amemlundikia zana za kivita za kila aina na sasa Waarabu hawana kazi yeyote zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe katika vita kali inayoendelea hivi sasa katika nchi karibu zote za Kiarabu.Wanatakiwa waachane na mambo ya kusadikika ya majini na kuigeukia sayansi na teknolojia ya ukweli.FAIDA ZA
KUFUNGA NDOA NA JINNI.
Binadamu wanao funga
ndoa na majini hupata
faida mbalimbali kama
vile ;
Mafanikio Katika
Biashara ama Kazi anayo ifanya.
Kupata mali na utajiri.
Kuwa na uhakika na ulinzi wa biashara na mali zako.
Ulinzi wa maisha yako
( Hakuna mchawi anaye weza kukuloga ).
Jinni husika atakusaidia
kuufahamu na kuujua
barabara ulimwengu usio onekana. Atasaidia
kukufungua macho ya
kiroho. Utaweza kuajua
masuala mbalimbali ya
kiroho kama vile jinsi ya
kujikinga na wachawi, walozi nakadhalika.
Kama unajihusisha na
masuala ya uvumbuzi jinni
anaweza kukusaidia
kuvumbua masuala
mbalimbali.
Kama unajihusisha na
michezo ya bahati nasibu
jinni atakusaidia kushinda.
Kama unajihusisha na
utabibu jinni atakuonyesha
dawa za matatizo
mbalimbali.
Kama unajihusisha na
sanaa kama vile muziki, maigizo, filamu au michezo jinni atakusaidia kun’gara
na kupata mafanikio
katika tasnia yako.
. Kama ulikuwa unasumbuliwa na matatizo
ya nguvu za kiume ( Kwa wanaume ) jinni
atakusaidia kuwa na
nguvu za kiume ambazo
hujawahi kuwa nazo.
. Kama ni
mwanamke ulikuwa una
tatizo la kutofika kileleni
jinni , ukiwa na mpenzi
jinni tatizo lako
halitakuwepo tena na
utafurahia mapenzi.
. Kama ulikuwa na
tatizo la uzazi
halitakuwepo, utazaa na
jinni huyo.
. Hautakuwa katika
hatari ya kuambukizwa
magonjwa ya zinaa wala
ukimwi.
. Hautakuwa na wasiwasi wa kuibiwa mke
au mume pamoja na faida
nyingine nyingi tu.
HASARA ZA KUFUNGA
NDOA NA JINNI.
Kila jambo lina faida na
hasara zake. Zifuatazo ni
baadhi ya hasara za
kufunga ndoa na jinni.
Utazaa watoto wa kijini
ambao hawatakuwa
binadamu wa kawaida
kwa sababu wanakuwa na
damu ya kijini.
Kukutana na mauzauza
kwa mfano pale atakapo
kutaka muende ukweni
kwao ( Ujinini )
Majini wana wivu sana
na hawapendi
kudanganywa. Akigundua
umemdanganya au
unajaribu kumkwepa
baada ya kufaidika na
mali zake adhabu yake
huwa ni kifo au kupigwa
na ukichaa.
Kama wewe ni mnywaji
wa pombe hutaruhusiwa
kunywa pombe, ukijaribu
kunywa pombe cha moto utakiona.
Kama wewe umezoea
kutesa wanawake kwa
kuwapiga, basi kwa
mpenzi jinni hautaweza.
Kama wewe ni mtu wa kujirusha klabu
hautaruhusiwa.
Kama ni mwanamamke
hautaruhusiwa kuwa na
mwanaume mwingine na
kama ni mwanaume
itategemea na namna
ulivyo kutana na huyo
jinni pamoja na aina ya
jinni, ikiwa bahati yako basi unaweza kuruhusiwa
kuoa mwanamke mmoja
ambaye ni binadamu
ambaye yeye jinni mwenyewe atakuchagulia.
Utaishi kwa kufuata
masharti na taratibu za
huyo jinni n.k.
Majini wako wa aina nyingiWewe Client,umefunga ndoa na jini? Kama jibu ni ndio tunaomba utuoneshe huyo jini wako na utajiri unaoumiliki.Hii mada imekaa Kiarabu arabu.Kama nilivyotangulia kusema mada hii haichangamani na elimu ya sayansi na wote na watu wote wanaoshabikia mambo ya kusadikika wamepungikiwa na elimu ya sayansi kwa kiwango kikubwa.Angalia Mwaarabu mwenyewe ambako ndiko chimbuko la haya madudu amekuwa mtu mweupe wa mwisho duniani kwa ujinga kisayansi na kiteknolojia.Hakuna kitu chochote anachoweza kutengeneza Mwarabu,hata pini ya kufungia nepi hawezi.Kila kitu anafanyiwa na wazungu.Mafuta anachimbiwa na wazungu,majengo mazuri yanajengwa na wazungu,miundo mbinu imejengwa na wazungu na mambo ya anasa zote anafanyiwa na wazungu.Kutokana na kupungukiwa na elimu katika nyaja zote mzungu amemlundikia zana za kivita za kila aina na sasa Waarabu hawana kazi yeyote zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe katika vita kali inayoendelea hivi sasa katika nchi karibu zote za Kiarabu.Wanatakiwa waachane na mambo ya kusadikika ya majini na kuigeukia sayansi na teknolojia ya ukweli.