Mkuu
xav bero utanitag mkuu, ukinisahau utakuwa haupo fair kabisa yn, kwanza ni uchoyo.
Unajua wengi wamezoea kuhoji au kuongea kitu Aidha kwa kusikia na wanakuja kuleta hoja msio na uzefu nazo,,
Kuna njia nyingi za kuita hawa viumbe,Ila uwe unaamini kabsa kua viumbe wenyewe wapo,maana kama huamin cchote ckushauri ufanye hili maana utakua unabishana na hali halisi mwsho utaumia.
Moja ya njia nyepes kabsa na rahis kumwita jini ni hii.- chukia kitambaa cheupe ngalau nusu mita,na UDI aina ya flora,,nenda mpka baharini FUNGUNI,nadhan wengi mnaelewa nikisema (funguni)kaa uchome UDI wako then umwite,,jinsi ya kumwita,unasalimu asalam allekum mara tatu,then wakati UDI unawaka unasema mm fulan,nahitaji kuonana na jini kwa aman kabsa na naomba akija aje ktk sura ya kibinadamu bila vitisho au sauti kubwa itakayoniogopesha nataka kujenga nae urafiki,,naomba naomba aje(unataja mwanaume/mwanamke)kwa amani sababu mm ni MTU mwema...
Then unachukua mchanga wa pale funguni unauweka kwenye kile kitambaa cheupe unaondoka. Ukifika geto unauweka sehem salama halaf unachomeka tena udi unawsha,,kila siku kwa muda wa Siku 7 unarudia maneno Yale Yale uiyotamka kule baharini. Zikifika siku ya saba unaenda kuumwaga baharin sehem yyte hata coco beach. Then unarud pale unawasha UDI unasema maneno Yale dakika moja nyingi atatokea.. Mnaongea yenu kama ni suala LA mkwanja mkikubaliana atakua anakuletea pale pale ulipokua unauhifadhi ule mchanga nyumban.
Masharti.. Hapa ndio panawashinda wngi,utakua tajiri tena sana tu Ila ukimkosea lazma akuadhibu,au ukimcheleweshea zawad zake hana huruma sana,,hata akikusamehe lazma akupe kibano kidogo,sio kukusamehe bure bure.. Na sharti kubwa linakua kutotoka nje ya mahusiano,kama una mume/mke mmoja usithubutu kutoka nje maana huna ujanja wa kumwongopea.
Hawa watakakuja ni wale majin wenye nguvu za wastani,, Ila ukitaka Kuwaita wale wakubwa inakuchukua siku arobaini,na hawa hawana masharti magumu sana Ila nitakuelezeen baadae,naenda kulewa kwanza mana mvua inapiga sana kwetu leo.