Faida na hasara ya kufunga ndoa na jini

Wapo hao weng sana mi ninae mmoja asli ya kiharabu anitwa zaujathi hint mablucki ana nisaidia sana hub mwaka Wa 8 namiliki vtu vyake vngi ikiwa A/c yake ya ujinini inayo niwezesha kupata pesa ambzo unatumia kwa kupangiwa,(kabla ujafa.......?)
Wewe ni mganga????
 
Majini, mathematics, mapepo wote hao ni wa kuzimu hakuna jini mzuri wote mawakala wa kuzimu, pamoja na washirika wao na wale wanaotafuta, wanaooa, wanaoolewa na hao majini na pia wanaowatumainia majini wote hao ni jehanamu ya milele
 
Uzuri wa jini nae anamwogopa binadamu Ila sisi tunabaki kua bora kuliko wao Ila hatujitambui vzuri,,,ngoja nilale kwanza kesho anaetaka jini nitampa njia rahis ya kumwita bila makorokoro mengiiiiii,fasta tu anakuja na aina unayotaka,Ila usimkorofishe
 
Tuwekee na utaratibu wa kumpata jini wa kufunga nae ndoa.
 
Uzuri wa jini nae anamwogopa binadamu Ila sisi tunabaki kua bora kuliko wao Ila hatujitambui vzuri,,,ngoja nilale kwanza kesho anaetaka jini nitampa njia rahis ya kumwita bila makorokoro mengiiiiii,fasta tu anakuja na aina unayotaka,Ila usimkorofishe
Mkuu xav bero utanitag mkuu, ukinisahau utakuwa haupo fair kabisa yn, kwanza ni uchoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…