JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Huyu ni mpuuzi, hajijuwi, pengine ametumwa. Mwangalieni ameshaenda kulalamika kule kwa madaktari anadai anakulakula kama mchwa, msomeni hapa: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/372865-mwenzenu-nakula-mpaka-najiogopa.html#post5293910
​Huyu ni ZEZETA. Tena ana miaka 23
MziziMkavu sijawahi kupata ushahidi wa kitabibu kama hii makitu inaondoa au kupunguza nguvu za kiume,labda wewe ndo uwe wa kwanza kuthibitisha hapa.
"
Ninachojua puchu ina madhara ya kisaikolojia tu.
"
Na kama inasababisha upungufu wa nguvu za kiume ni kivipi?
"
Na mtu mpaka apate hayo madhara,ni mpaka afanye hivyo kwa muda gani?
"
Kama haina madhara au inayo ni bora yakatolewa maelezo ya kina!
Mkuu mbona Unatokwa na moshi mweus namna hiyo?
Mimi Sio Mpuuz na wala husilazimishe niamini kitu ninachojua kina madhara ya kupoteza uhai wangu(HIV Inaua kaka!)
Hii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!
Hii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!
ipo mkuuHii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!
ushoga uliacha?mmh , nimesha piga sana nime choka