ellybululla
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 107
- 83
wapiga puli utawajua tu
Hii ni baina ya vitu vibaya kabisa na vyenye madhara makubwa, Moja ya madhara yake ni kwamba unalegeza misuli ya uume na ukifsnya hii kitu kwa muda mrefu uume utashindwa kusimama kabisa.
Asikudanganye mtu, ukiachana na madhara ya kisaikolojia, matokeo ya muda mrefu ya kitendo hiki ni uhanithi(impotence).
Kutumia kondomu si ni sawa tu na puli ya kutumia K ya bandia yaani fleshlight.
Hii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!
bahati yako mada ya muda...
Hii ni baina ya vitu vibaya kabisa na vyenye madhara makubwa, Moja ya madhara yake ni kwamba unalegeza misuli ya uume na ukifsnya hii kitu kwa muda mrefu uume utashindwa kusimama kabisa.
Asikudanganye mtu, ukiachana na madhara ya kisaikolojia, matokeo ya muda mrefu ya kitendo hiki ni uhanithi(impotence).
Jambo lolote ambalo mungu kakataza jua linamadhara makubwa hata km wataalamu wa dunia watasema linafaida,makatazo ya mungu ndo dira na salama ya afya zetu, akili na roho
Mimi nikipiga punyeto hamu haiishi, naweza kupiga siku nzima ila demu nikipiga vinne natosheka kabisa na hamu inaisha.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
MmmhHii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!
MmmhHii Kitu Haina faida hivyo mnaojihusisha msidanganyike ni hatari sana!