Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Ingependeza zaid kama ungeeleza na hasara zake
Unanikumbusha wakat nipo high school .taa ikizima tu full kupiga nyeto maisha ya boyz bhaana
Hahahaha# katika watu wanaozin kwa mawazo na watu weng wapiga nyeto ?@pharaoh
bila shaka mko poa!!
Jamani lazima tukubali kuwa sekta ya ngono sasa haikamatiki kwa mabalaa mfano kusalitiana,kufirisika ,kondom feki n.k pia ukiuvaa kuna arv feki, kutokana na mabalaa yanayoikumba sekta ya ngono kwa kipindi hiki nimeona kuna umuhimu wa kukumbushana faida za nyeto...bila shaka wazee wa chawaputa wananipata vizuri.
Faida za punyeto
- inakuepusha dhidi ya presha za mapenzi!
- inakufanya ukidhi haja zako!
- inaepusha kupata ukimwi na magonjwa ya zinaa 100%
- inaleta maendeleo indirect,kwani hutapoteza pesa!
- inakupa uhuru ktk kukidhi haja zako!
- kutokana na ubize, inakuepusha kuwaza mambo mabaya!
- inakuepusha dhidi ya mimba zisizotarajiwa
- indirect inapumguza watoto wa mitaani na umaskini kwa ujumla!
- inakuepusha dhidi ya mafumanizi na maumivu ya mapenzi!
- inakupa raha!
hizo ni moja ya faida nyingi za punyeto, hivyo ni wakati wako wewe kama kijana kuchagua heri au balaa!
Hhahaha mi binafs nimeipenda hyo kwa kuwa mwanachama ila ukwel NYETO haiwez kukulinda kwa 100% uspate ukimwi kwan pind utapokutana na mwanamke huwez jisikia raha kutumia kondom kwa kuzoea NYETO hvyo si 100% kama unavyodai bali ni kama 55% tu.