Faida 10 za kupiga punyeto!!

Hahaha nahisi ukiona sabuni 2 unaona aibu unaanza kudinda.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Aisee, this is very serious. JF imevamiwa na viumbe kutoka sayari ya mars.

 
Hakuna faida yoyote zaidi ya kuwa weak kila kukicha. Ndugu yangu acha hayo, nina mifano ya watu 12 waliokuwa wakifanya mambo hayo. Next.........
 
Chenye FAIDA kina HASARA, na chenye HASARA kina FAIDA. Hivyo unatakiwa upime wapi kuna faida kubwa na hasara ndogo. Au wapi kuna hasara kubwa na faida ndogo. Hivyo punyeto ina madhara makubwa sana, ila faida ni ndogo mno.
 
Huwez kufananisha k na nyeto sawasawa ufananishe barger na muhogoo
 
Kuongezea...
  • Rungu linapata mazoezi..
  • Unaweza fanya popote pale, as long as umejifungia...
  • Unaujua mwili wako zaidi..
  • Ukiringiwa na mama watoto au girlfriend, sio tatizo, kabisa....
  • Sio raha tu unatapata, pia kuwa content baada ya kujiliwaza..
  • ....
 

Safi sana kamanda!
Umenifurahisha kwa pointi zako zilizotulia!
 
Mungu anafurahi mwanaume ukiweza kutongoza na hatimaye kumiliki mwanamke kingono;hii ndiyo wakakuite mwanamme. Utakuwa zoba kuishiwa na kujifungia kujikamua mwenyewe. Do it proper get one to screw like a men
 
Mungu anafurahi mwanaume ukiweza kutongoza na hatimaye kumiliki mwanamke kingono;hii ndiyo wakakuite mwanamme. Utakuwa zoba kuishiwa na kujifungia kujikamua mwenyewe. Do it proper get one to screw like a men

Soa faida zake!
 

kweli ww ni zezeta la town,mery xmas
 
Hivi hii topic iko mahali pake kweli? Mahusiano-Mapenzi-Urafiki, nyeto linaangukia wapi kati ya hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…