TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Kiukweli hata uangalie vp huwezi filisi au chukua kitu kwa macho, hata mzigo kama huu hata uangalie vp utaishia kufaidi au watoto wa mjini wanasema kula kwa macho. Mzigo kama hii kweli mwacheni Mungu aitwe Mungu, mengine tuwaachie Baba na Mama. Penye kusifiwa panapaswa kusifiwa.
CC. Asprin, PakaJimmy, Boflo, Elli, Bigirita, madame B, Fidel80, Mtambuzi, mzabzab, marejesho, Filipo, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, Bishanga, Mwita Maranya, Remmy FirstLady, FirstLady1 , The Boss , @FP, King'asti, Preta, KakaKiiza, watu8, Mokoyo, erickb58, Kipipi
Last edited by a moderator: