CRDB bank fahari huduma

CRDB bank fahari huduma

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,556
Reaction score
7,385
Habari ni ndugu na jamaa pole na blue Monday ninaomba kufahamu muhimu na matumizi ya account ya fahari huduma kutoka CRDB BANK inayo msikiliza mteja na haina foleni kwa upana na ufanisi wake ili tuzidi kuvutia na kuitumia zaidi hii account ya CRDB BANK
Alamsiki
 
Sijakuelewa
Mbona kama umeshajijibu?.
 
Sijakuelewa
Mbona kama umeshajijibu?.
kivipimkuu mimi ninacho omba ni ufafanuzi tu ili nipate mwanga ni hii huduma ya fahari wengine waliniambia kuwa inaweza kuwa ni sawa na chapu chapu ya nmb bank
 
Back
Top Bottom