Nianze na la UPATU
SCENARIO ONE ;
Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza.
Maana yake
Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140
UWEKEZAJI 200m
Jumla itabidi awalipe milioni 340.
Hela ya kuwalipa hawa wawekezaji ni michango mipya iliyokusanywa kati ya February na May.
Kwanini MICHANGO MIPYA
SABABU KUU JAMAA ALIKUWA ANAWEKEZA SO HELA YA WAWEKEZAJI WALIYOLIPWA UNAKUTA HAIJA MATERIALIZE KUTOA FAIDA.....
UNANUNUA KIWANJA
UNAJENGA MABANDA
UNAJENGA KIWANDA CHA CHAKULA
UNAFUNGUA OFISI
UNANUNUA MEANS OF TRANSPORT...
HIYO HELA HAIRUDI.
SCENARIO TWO
Je mbona mr kuku alikuwa anafuga kuku na wawekezaji walioneshwa mabanda?
Swali hili linatupa scenario ya pili, kwasababu faida ya kuku haiwezi kuwa 70% miezi 4 na mradi una risk mbali mbali.
Assumptions
Alipochukua 200m alifanya biashara akapata faida (Sijasema kuku hawama faida, wana faida ndio maana NAFUGA) Tufanye alipate bei gani
Fanya hiyo assuming ya faida (....) Kwasababu nimeonesha pale juu kuwa huwezi kupata 70% miezi 4 basi kitakachopelea anajazia michango mipya.
Akipata faida 50% anakuwa na 100m + initial investment 200m inakuwa 300m ana deficit ya 40m anajazia michango mipya.