Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
- Thread starter
-
- #81
Kweli mkuu hawa wadudu ni wadogo lakini ni balaa. Kuna guide mmoja juzi kati alikuwa na wageni Tarangire kwa bahati mbaya walipoingia hifadhini hawakufunga vioo aisee wale wageni waliumwa hadi wakawa wekundu ka nyanyaDaaah!! Umenikumbusha mbali sana. Kutembelea hifadhi ya tarangire na manyara inahitaji kuchukua tahadhari kubwa. Tulimpima kila aina ya ugonjwa,tukidhani labda huu ugonjwa Wa kisasa. Na Hosp nyingi hawakuwa wakimpima huo ugonjwa nahisi kwasababu ya mazoea ya kutoku uexprience kabla.
Simba ni hatari anauwa hadi Tembo
Pia simba dume hawezi kupigana na kushinda na Tiger Wa Siberia kwa kuwa Tiger Wa Siberia ndio paka mkubwa kuliko wote.na Tiger anatumia mikono au miguu ya mbele kupigia kwa wakati mmoja na simba anatumia mkono mmoja
Awa wote ni jamii yapaka na wanatofautiana kwa mazingira yaoHivi hawa wanyama tofauti zao ni nini Jaguar,chittah,leopard na Tiger ?? (itakuwa vizuri kama mtatuambatanishia na picha)
Kwa kawaida simba madume wanaoishi solitary huwa wanawinda wenyewe lakini wakishafanikiwa kumiliki familia ndo huanza kulindiwa na simba majike
Umekwiva mkuu hongera kwa ubuyu muruaJe wajua kuwa simba dume mmoja akiwa anavamia na wenzake madume mfano matatu kabla ya kukutana nakupigana wanapeana vitisho vya mngurumo na endapo yule mmoja anayevamia akatoa mkali zaidi ya wale wanaokuja watatu wale watatu wanaghairi kuja wanajua mwezao ni mkali na ananguvu kubwa kuliko wao.pia simba dume anapovamia na wenzake na mfano wawili na kuendelea simba jike wale Wa yule anayevamia wanaweza kuamua kumsaidia dume au kutomsaidia.kwanini wanamsaidia kupigana.kama kuna watoto wadogo ambao wameshakua na wanajua akishindwa dume basi watoto wao watauliwa pia wanamsaidia kama yule dume ameishi kwa upendo mkubwa na wale wanaweke na kwanini simba majike yanpoamua kutomsaidia mwanaume pindi wanapovamia kwasababu dume limezeeka kwao kuna kuwa hakuna ulinzi wakuaminika kwa ajili ya watoto wao na mji wao pia simba jike wanapenda kupandwa na simba mwenye uwezo bora na nguvu ili kutoa watoto bora.pia je mnajua kuwa kila simba wanakaya zao ambazo daima zinatengenishwa na kwa kuweka alama ya mikojo ya simba dume ambao ndio walinzi wakuu wafamilia.je wajua kuwa ikitokea kwa simba majike yakavuka mpaka Wa kwenda kuwinda na watoto zao na wakakumbana na masimba jike wakaya nyingine ambao ndio eneo lao wale waliovamia atakama wako wengi wanakimbiasana na ikitokea walikwenda na watoto wao wanawaacha nyuma na wale waliowafumania kama wale watoto wakiwa wadogo sana hawahui na watawaacha mpaka mama yao atakapowaita kwa mlio maalumu.
I' m so interesting, marvelous story...big up Steve mushi & midumare Iwato
Simba jike aliyekomaa kuzaa anaishi katika familia yao kumbuka madume yanakuja nakuondoka ila majike daima wanabaki na koo yao daima wao wanaishi kama mabibi.mama.shangazi.mabinamu katika kaya yao pia kukumbusha tena ikitokea mwezao mmoja anakaribia kufa wanajua kuwa mwezao haponi na wale Wa umri wake wanamsindikiza safari yake ya mwisho na wanamuacha wanaondoka zaoMkuu:
Je simba jike alie koma kuzaa anaishije.
Simba msafi...Diamond ni simba wa wapi.,mbona analea watoto sio wake?