Wew itabidi ulipie ada ufundishwe private nakama umeshindwa kumwelewa hapa kaz ipo aseeKaka una point sana na unawajua sana hao Paka wakubwa, sema hueleweki vizuri kabisa, sijuhi ni simu unayotumia au ni haraka ya kuandika
Lishajibiwa rudi nyumamm bado nahitaji kujua elimu zaidi ya simba inakuwaje simba wa buga za selegeti anapanda kwenye miti huku wale wa poli la akiba selou awapandi juu ebu nijuze mkuu
Wew itabidi ulipie ada ufundishwe private nakama umeshindwa kumwelewa hapa kaz ipo asee
Ndugu wanyama wanaokula nyama daima hawali nyama ya wanaokula nyama huwezi mkuta simba anamla chui.ndege wale wanaokula mizoga ndio wanaokula wanyama wanaokula nyama tuuu.Wakuu inakuwaje simba hamli fisi?maana huwa wanafatana kwenye mawindo,maana fisi wanaliwa hata na binadam,kuna kabila moja kanda ya kati inasemekana zamani fisi ilikuwa ni kitoweo kama mbuzi,sasa inakuwaje simba hali fisi?naomba kujua hii imekaaje wakuu.
Dah sikulijua hili kabisa,asante mkuu kwa darasa zuri,nimejifunza kitu.Ndugu wanyama wanaokula nyama daima hawali nyama ya wanaokula nyama huwezi mkuta simba anamla chui.ndege wale wanaokula mizoga ndio wanaokula wanyama wanaokula nyama tuuu.
Swali zuri sanaAISEEE mnajuaje na hali hamjui lugha yao
Ila yebo alikula vitano na hao wa mcmbazSasa mbona simba hawa wa msimbazi wako kimdebwedo sana. Hawa ni simba wa wapi?
Miaka miwil wakajitegemee....ila cmba wa dsm had miaka 50 anakaa kw shemej ykSimba kofi lake ni kilo50
Simba ni mnyama mwenye aibu kupindukia hawez kukuangalia usoni.
Pride kubwa duniani iko serengeti ina simba karibu 45 wanaishi pamoja.
Simba wakiwa wanakula hawana uchoyo hata simba jirani anaweza kupita hapo na kula bila bughuza.
Simba top speed yake 60-75 kph.
Simba dume hawindi sababu lizito.ukisikia simba kaingia kijijini anakula mifugo ni simba mzee au dhaifu aliefukuzwa na vijana ili aachie familia yake damu moto.simba dume akifika miaka2 anatakiwa akajitegemee aondoke ktk familia kabisa
Sasa mbona simba hawa wa msimbazi wako kimdebwedo sana. Hawa ni simba wa wapi?
Tarangire sio serengetiLishajibiwa rudi nyuma
Hao ni simba Wa nyika[emoji15]Sasa mbona simba hawa wa msimbazi wako kimdebwedo sana. Hawa ni simba wa wapi?