Kuna dawa zozote unazozifahamu tushirikishane?Mkuu.. usiangaishwe na maumbile yako madogo relax.. hizi dawa huwa zinafanya kazi 100% ila madhara yake ni mengi na makubwa na hayana suruhu.. utakuza uume utakuwa mkubwa kama unavyohitaji ila utakuwa hausimami sawa sawa kama mwanaume kweli yaani utakuwa unasimama lege lege na hata kuingia utakuwa hauingii vizuri.. ila kama hiyo hali inakutesa tafuta tu dawa utumie.. maisha yenyewe mafupi haya just enjoy mkuu hatushikiani maisha
ina matokeo au ndo ku google mkuu. unaweza elezea kidogoBazouka cream
Vipi una hali gani baada ya hii miaka 3.!?Dawa zipo, mie nakumbuka kuna jamaa aliniuzia hiyo dawa mwanzo nilihisi tapeli lakini nikajisemea acha nimpe riziki.
Asee ile dawa kiboko mpaka nikaitupa mana nikaanza kuogopa nilichokuwa nakiona.
Afu kila mwanamke nikikutana nae,akiondoka tu anatuma text kibao khaaa wewe hiyo nanii hatariiii[emoji119]
DahMbna hyo tba inajukikana mkuu tena kitu cha kumix hakizidi hata buku,sema nikikisema kuna watu wanaweza kwenda kujarbu na ubaya kama ukijaribu ukazidisha mashine inaweza kuwa oversize
Umemalizia uzi wako kwa maneno ya busara sana 😂Au haina haja niyakubali maumbile.
Jinsi ya kuimarisha misuli ya mikono na miguu ndio pia inafanya kazi huko!Kuna njia za kiutaalamu ? ,niliwahi kutumia kamba na kuning'iniza kilo moja lakini haikusaidia.
Au haina haja niyakubali maumbile.
Ndio ulivyoumbwa,sasa kitumie hicho kibamia kiwe fursa kwako,kikuingizie kipatoKuna njia za kiutaalamu ? ,niliwahi kutumia kamba na kuning'iniza kilo moja lakini haikusaidia.
Au haina haja niyakubali maumbile.
Halafu kwa confidence zote ukajiita mjegeje.we huna kibamia mpaka unafunga kamba inakubali me changu hata kamba hufungii.