mtoto wa Mshana Member Joined Apr 23, 2018 Posts 8 Reaction score 11 Apr 24, 2018 #1 habari zenu wadau, je umewahi kulala siku moja ukaota unafanya mapenzi usingizini? je umewahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke ambae humjui ( hujawahi kumuona katika maisha ya kila siku) ? je nini husababisha ndoto za aina hii? je umeshwahi kuota unakimbizwa na mnyama usingizini? hapo kesho nitawapa darasa fupi juu ya hili suala la ndoto na uhusiano wa nafsi, mwili na roho ya mwanadamu anapokua usingizini. usikose..
habari zenu wadau, je umewahi kulala siku moja ukaota unafanya mapenzi usingizini? je umewahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke ambae humjui ( hujawahi kumuona katika maisha ya kila siku) ? je nini husababisha ndoto za aina hii? je umeshwahi kuota unakimbizwa na mnyama usingizini? hapo kesho nitawapa darasa fupi juu ya hili suala la ndoto na uhusiano wa nafsi, mwili na roho ya mwanadamu anapokua usingizini. usikose..
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,008 Reaction score 31,816 Apr 24, 2018 #2 Mtoto wa mshana
Mjasiri na Mali JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 5,365 Reaction score 14,187 Apr 24, 2018 #3 Kwanini usingesubiri kesho ukaanzisha na huu Uzi haraka ya nini na hakuna Uzi unaomalizaga
Sammo Hung JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 1,165 Reaction score 1,360 Apr 24, 2018 #4 Niliota ninambomoa msichana fulani ninayemfahamu ila sijamuona kwa muda mrefu maana yuko nje ya mji huu kikazi, kesho nikapata habari zake kuwa amekuja nyumbani kwao kujitazamia.. Nilijiona mjinga sana.
Niliota ninambomoa msichana fulani ninayemfahamu ila sijamuona kwa muda mrefu maana yuko nje ya mji huu kikazi, kesho nikapata habari zake kuwa amekuja nyumbani kwao kujitazamia.. Nilijiona mjinga sana.