Fahamu "route" za gari yako ya biashara

mjapanimweusi

Member
Feb 11, 2019
26
45
Habari,

Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.

Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez
*kujua gari yako iko wapi kwa wakati husika
*kupiga picha ndani ya gari
*kurecord video au sauti ya ndani ya gari
*kupiga picha ndani ya gari
*kusaidia kutafuta gari yako ikíibiwa

Simu yako ya mkononi itaunganishwa na mfumo huu,ili uweze kupata taarifa zote kiganjani.

Pia taarifa hz zote zitatunza ktka database yetu kwa mahtaji ya baadae.

Pia tunadesign security mbalimbali za kielectronics kwa vyombo vya moto na majumbani.

Bei ya system ndogo inaanzia 500,000/ kwa gari (kila kitu tukinunua sisi)

Na bei ni 250,000/- kwa gari (kama mteja atakuja na gps device yake).

Na 250,000/- kwa boda boda(kama kila kitu tukinunua sisi)

Na 150,000/- kwa boda boda (kama gps device ni yake).

0629068815

KARIBUN TUPO MACHINGA COMPLEX

kwenye gari binafsi tunafunga,kama
privacy ya muhusika inaruhusu!

Lakini pia unaweza kuomba baadhi
ya option zikawa deactivated hasa
kwa magari binafsi mfano option ya
kurecord picha na sauti tunaweza
kuzizima,ikabaki ya route tu. Kama gari ikiibiwa,itatulazimu option
zote tuwashe ili tuweze kukusanya
taarifa muhimu zitakazo saidia
kupatikana kwa gari yako.

Gharama za mwanzo za kufungiwa
tracking system znajumuisha pamoja
na subscription ya miez sita.

Hivyo utakuja kuanza kulipia baada
ya miez sita toka umefungiwa kuisha Utalipia subscription ya miez
sita,ambapo package ya miez sita ni
Tsh 60,000/,sawa na 10,000/ kwa
mwezi. Usipo lipia,bado gari yako itakua
inarusha taarifa kwetu japo storage
yake ya taarifa itakua ni ndogo
ambapo kila baada ya masaa
72,information zitakua cleared....kwa
ajiri ya kupokea taarifa mpya.

Lakini kwa walio lipia taarifa zao
haziwi cleared mwezi mzima na
watakua wanapokea report ya kila
mwez kwenye email zao kuhusu
routes zote pamoja na kilomita
ambazo gari imetembea.na taarifa zao zitatunzwa kwa matumiz ya baadae.

Na pia kwa wale wanao kusanya
picha na sauti ztatunzwa ktk database
yetu. Clarity said: Je kuna malipo ya kila mwezi? Sent using Jamii Forums mobile app

Kupitia system hii pia tunauwezo wa
kuizima gari,au kui-rock isiiwake
kama ukitupa amri hiyo

. Kama ukihitaji tutakuwekea
emergency button ambayo
ukibonyeza system itaanza kurecord
picha na sauti ndani ya gari,na pia
itatutumia taarifa za
emergency...tutajua location ulipo tutawasilina na polisi na ndugu na
jamaa.

(button hii inatumika kama
umevamiwa na majambazi au
waharifu ndani ya gari na si
vingnevyo).
 
mjapanimweusi

Member
Feb 11, 2019
26
45
kwenye gari binafsi tunafunga,kama privacy ya muhusika inaruhusu!

Lakini pia unaweza kuomba baadhi ya option zikawa deactivated hasa kwa magari binafsi mfano option ya kurecord picha na sauti tunaweza kuzizima,ikabaki ya route tu.

Kama gari ikiibiwa,itatulazimu option zote tuwashe ili tuweze kukusanya taarifa muhimu zitakazo saidia kupatikana kwa gari yako.
 
mjapanimweusi

Member
Feb 11, 2019
26
45
system zetu hazipo katika global market si rahisi kwa waharifu kujua ufanyaji wake wa kazi na mbinu za kuziharibu,tunaziunda na kuzibuni wenyewe,zinatumia internet na GPS.

System inafanya kazi masaa 24hrs/7 haina uhusiano na battery yako ya gari hata gari ikizimwa na battery kuchomolewa bado taarifa tutaendelea kuzpata.
 
mjapanimweusi

Member
Feb 11, 2019
26
45
Je kuna malipo ya kila mwezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo gharama zipo ila ni kwa miez sita!

Subscription yetu ni kwa miezi sita!

Gharama za mwanzo za kufungiwa tracking system znajumuisha pamoja na subscription ya miez sita.

Hivyo utakuja kuanza kulipia baada ya miez sita toka umefungiwa kuisha

Utalipia subscription ya miez sita,ambapo package ya miez sita ni Tsh 60,000/,sawa na 10,000/ kwa mwezi.

Usipo lipia,bado gari yako itakua inarusha taarifa kwetu japo storage yake ya taarifa itakua ni ndogo ambapo kila baada ya masaa 72,information zitakua cleared....kwa ajiri ya kupokea taarifa mpya.

Lakini kwa walio lipia taarifa zao haziwi cleared mwezi mzima na watakua wanapokea report ya kila mwez kwenye email zao kuhusu routes zote pamoja na kilomita ambazo gari imetembea.na taarifa zao zitatunzwa kwa matumiz ya baadae.

Na pia kwa wale wanao kusanya picha na sauti ztatunzwa ktk database yetu.
 
Clarity

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
1,257
2,000
Nimekuelewa na nitakutafuta ingawa sijaona namba za simu

Kupitia system hii pia tunauwezo wa kuizima gari,au kui-rock isiiwake kama ukitupa amri hiyo.

Kama ukihitaji tutakuwekea emergency button ambayo ukibonyeza system itaanza kurecord picha na sauti ndani ya gari,na pia itatutumia taarifa za emergency...tutajua location ulipo tutawasilina na polisi na ndugu na jamaa.(button hii inatumika kama umevamiwa na majambazi au waharifu ndani ya gari na si vingnevyo).
 
Sanchez magoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2015
3,982

Ntawatafuta niwaungushe soon nikitoka shamba wakuu!!!! Security ni muhimu sana
 
Jason Statham2

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
637
1,000
Ndiyo gharama zipo ila ni kwa miez sita!

Subscription yetu ni kwa miezi sita!

Gharama za mwanzo za kufungiwa tracking system znajumuisha pamoja na subscription ya miez sita.

Hivyo utakuja kuanza kulipia baada ya miez sita toka umefungiwa kuisha

Utalipia subscription ya miez sita,ambapo package ya miez sita ni Tsh 60,000/,sawa na 10,000/ kwa mwezi.

Usipo lipia,bado gari yako itakua inarusha taarifa kwetu japo storage yake ya taarifa itakua ni ndogo ambapo kila baada ya masaa 72,information zitakua cleared....kwa ajiri ya kupokea taarifa mpya.

Lakini kwa walio lipia taarifa zao haziwi cleared mwezi mzima na watakua wanapokea report ya kila mwez kwenye email zao kuhusu routes zote pamoja na kilomita ambazo gari imetembea.na taarifa zao zitatunzwa kwa matumiz ya baadae.

Na pia kwa wale wanao kusanya picha na sauti ztatunzwa ktk database yetu.
Ni habari njema sana hii witnessj
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,158
2,000
Habari,

Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.

Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez
*kujua gari yako iko wapi kwa wakati husika
*kupiga picha ndani ya gari
*kurecord video au sauti ya ndani ya gari
*kupiga picha ndani ya gari
*kusaidia kutafuta gari yako ikíibiwa

Simu yako ya mkononi itaunganishwa na mfumo huu,ili uweze kupata taarifa zote kiganjani.

Pia taarifa hz zote zitatunza ktka database yetu kwa mahtaji ya baadae.

Pia tunadesign security mbalimbali za kielectronics kwa vyombo vya moto na majumbani.

Bei ya system ndogo inaanzia 500,000/

KARIBUN TUPO MACHINGA COMPLEX
Hapo kwenye "Kuunda" hapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom