Fahamu "route" za gari yako ya biashara

Fahamu "route" za gari yako ya biashara

Hapo kwenye "Kuunda" hapo.

Ni combination ya IT,NETWORK,ELECTRONICS pamoja na AUTO ELECTRICAL.

System zetu siyo plug and play,ni designed kuanzia katika coding,na wiring system yake.

Mfano ukiagiza tracking nje ya nchi ufungiwe tracking device hyo inakua na model yake mfano MODEL NUMBER PGO2c-310.

Ikifika kwako inakuja na manual yake ww kazi yako ni kufunga na unadownload software yake harafu umemaliza kitu hewani.

Sasa wezi na majambazi nao ni wasomi,kwa kawaida gari iliyofungwa GPS sysem hua ina act kama receiver na transmitter.

Kama mwiz wa gari akiwa na kifaa kinacho track uwepo wa tracking system ktk gari yako,ni rahisi kujua model ya tracking system yako unayo tumia,na akisha ijua model ya tracking sysem yako umeumia!

Wana kifaa ambacho kinaitwa tracking system jammer,wanafeed tu model ya tracking system yako katika jammer yao,kwa bahatimbaya model namba ya tracking system yako ikiwa katika list zao ujue wanauwezo wa aina mbili.

1.kucheat location kupitia gps yako,yani kwenye system mnaweza kuona gari iko Morogoro kumbe gari ipo Mwanza.

2.Kufanya jamming ya track sysem yako,wanauwezo wa kuifanya tracking system yako isionekane kwenye system.unakuta ktk database unaona last updates ya information ni pale tu gari,ilipo ibiwa baada ya hapo kimyaaaa!

Hivyo tunavyo sema tunaunda,ni kwamba model zetu ni unique,hazipo katka global market,hvyo kwenye vifaa vya kujamm au kucheat huwez kuiona model,labda uanze kufumua fumua gari utafute wapi tumeficha black box,uanze kukatakata waya,na muda huo wez hawana.

Na ukumbuke hata kujamm system zako wanafanya kabla hawajalichukua,ukiona gari yenye trackng imechukuliwa ujue wamesha fanya yao ki-IT zaidi
 
uwezo wa tracking kutuma taarifa gari ikiwa imezimwa bila kuwashwa ni siku 30.baada ya hapo black box itaishiwa chaji na system itapotea hewani....
 
systeme ina ping location kila baada ya dakika 15,ikiwa kwenye emergency ina ping kila baada ya dakika 1.

Kujua gari lilipo itategemeana na last ping pamoja na speed ya gari,na aina ya barabara pamoja na uwepo wa traffic lights au traffic volume,pia uwepo wa alama za speed limit kwa barabara za masafa,kwakua jamaa hua wanaheshimu sheria za barabara mchana sababu huwa hawataki bugudha na polisi,kama usiku basi speed ambayo hutembea nayo huwa at the maximum.hivyo kwa usiku gari ikiwa katka speed kali kwa hesabu za dakika moja kwa 1ping unaweza ukakuta dakika moja mkaaproximate mita 500 to the direction of acceleration.

Pia kama wataingia katika filling station yoyote itajulikana sabu asilimia 95 ya filling station zpo recored ktk GPs
 
Kuifatilia gari kwa kuwakamata wao na gari ndiyo kuna process ndefu ya kufatilia hatua kwa hatua wapi walipo,speed waliyonayo n.k,

Lakini kama huna shida nao unarock tu gari inazima na haita waka,bila shaka watasababisha jam,na watakimbia wataiacha gari!
 
Ni combination ya IT,NETWORK,ELECTRONICS pamoja na AUTO ELECTRICAL.

System zetu siyo plug and play,ni designed kuanzia katika coding,na wiring system yake.

Mfano ukiagiza tracking nje ya nchi ufungiwe tracking device hyo inakua na model yake mfano MODEL NUMBER PGO2c-310.

Ikifika kwako inakuja na manual yake ww kazi yako ni kufunga na unadownload software yake harafu umemaliza kitu hewani.

Sasa wezi na majambazi nao ni wasomi,kwa kawaida gari iliyofungwa GPS sysem hua ina act kama receiver na transmitter.

Kama mwiz wa gari akiwa na kifaa kinacho track uwepo wa tracking system ktk gari yako,ni rahisi kujua model ya tracking system yako unayo tumia,na akisha ijua model ya tracking sysem yako umeumia!

Wana kifaa ambacho kinaitwa tracking system jammer,wanafeed tu model ya tracking system yako katika jammer yao,kwa bahatimbaya model namba ya tracking system yako ikiwa katika list zao ujue wanauwezo wa aina mbili.

1.kucheat location kupitia gps yako,yani kwenye system mnaweza kuona gari iko Morogoro kumbe gari ipo Mwanza.

2.Kufanya jamming ya track sysem yako,wanauwezo wa kuifanya tracking system yako isionekane kwenye system.unakuta ktk database unaona last updates ya information ni pale tu gari,ilipo ibiwa baada ya hapo kimyaaaa!

Hivyo tunavyo sema tunaunda,ni kwamba model zetu ni unique,hazipo katka global market,hvyo kwenye vifaa vya kujamm au kucheat huwez kuiona model,labda uanze kufumua fumua gari utafute wapi tumeficha black box,uanze kukatakata waya,na muda huo wez hawana.

Na ukumbuke hata kujamm system zako wanafanya kabla hawajalichukua,ukiona gari yenye trackng imechukuliwa ujue wamesha fanya yao ki-IT zaidi
Nimekuelewa Mkuu wangu,
Nilikua najua hizi mambo wanaunda ngozi nyeupe tu, hata wabongo tunaweza. Shida sasa mkuu ni ile ile, bei.

Kwamba device ya mchina yenye kulipiwa transport, kodi, TBS, etc iko cheaper than akikuundia mbongo hapa hapa.
 
Ni kweli boss bei zipo juu,tunavyosema tunaunda haimaanishi tunaunda kila kitu from scratch,kuna gadgets ambazo tunaagiza toka nje ya nchi pia.kinachofanyika hapa ni circuiting,assembling na coding na visaketi vichache tu kukamilisha.

Pia hata nje zpo za gharama hadi za milioni 2 zipo lakin pia zipo cheap hadi za dollar 12 tu ambayo ni kama elfu 30 za kibongo.

Ni wewe tu!

Vipi TBS tena,mi naagiza v2 vngi toka nje,na vikifika naenda kuvipokea na vinaenda ktk matumizi,

Vifaa vya kielectronics TBS ni changamoto vipi mwenzangu simu yako ina muhuri wa TBS.
 
Haya maelezo unayoweka kama komenti ungejotahidi yote uyaattach keenye main post ili kuleta mtiririko mzuri wa biashara yako
Kupitia system hii pia tunauwezo wa kuizima gari,au kui-rock isiiwake kama ukitupa amri hiyo.

Kama ukihitaji tutakuwekea emergency button ambayo ukibonyeza system itaanza kurecord picha na sauti ndani ya gari,na pia itatutumia taarifa za emergency...tutajua location ulipo tutawasilina na polisi na ndugu na jamaa.(button hii inatumika kama umevamiwa na majambazi au waharifu ndani ya gari na si vingnevyo).
 
Gharama yenu ipoje kwa gari ya abiria (daladala)?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Daladala package yake ni Tsh 500,000/,ikiwa imejumuisha subscripion ya miez 6.

Ila kama utakua na gari kuanzia tatu na kuendelea,utapewa offer ya subscription ya miez sita kwa kila gari,hivyo utalipia 440,000/ kwa kila gari moja.

Coverage yake haina limitation hata kama gari ikikodiwa kwa ajili ya kwenda mikoani au nchi jiran bado itakua tracked.
 
ukifunga tracking system ktk gari yako,ni vizur ukafanya jambo hlo kuwa ni siri,huna haja ya kuwaambia watu kuwa gari yako imefungwa system za self defence au tracking!
 
Daladala package yake ni Tsh 500,000/,ikiwa imejumuisha subscripion ya miez 6.

Ila kama utakua na gari kuanzia tatu na kuendelea,utapewa offer ya subscription ya miez sita kwa kila gari,hivyo utalipia 440,000/ kwa kila gari moja.

Coverage yake haina limitation hata kama gari ikikodiwa kwa ajili ya kwenda mikoani au nchi jiran bado itakua tracked.
Mnapatikana wapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.

Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez
*kujua gari yako iko wapi kwa wakati husika
*kupiga picha ndani ya gari
*kurecord video au sauti ya ndani ya gari
*kupiga picha ndani ya gari
*kusaidia kutafuta gari yako ikíibiwa

Simu yako ya mkononi itaunganishwa na mfumo huu,ili uweze kupata taarifa zote kiganjani.

Pia taarifa hz zote zitatunza ktka database yetu kwa mahtaji ya baadae.

Pia tunadesign security mbalimbali za kielectronics kwa vyombo vya moto na majumbani.

Bei ya system ndogo inaanzia 500,000/

KARIBUN TUPO MACHINGA COMPLEX

kwenye gari binafsi tunafunga,kama
privacy ya muhusika inaruhusu!

Lakini pia unaweza kuomba baadhi
ya option zikawa deactivated hasa
kwa magari binafsi mfano option ya
kurecord picha na sauti tunaweza
kuzizima,ikabaki ya route tu. Kama gari ikiibiwa,itatulazimu option
zote tuwashe ili tuweze kukusanya
taarifa muhimu zitakazo saidia
kupatikana kwa gari yako.

Gharama za mwanzo za kufungiwa
tracking system znajumuisha pamoja
na subscription ya miez sita.

Hivyo utakuja kuanza kulipia baada
ya miez sita toka umefungiwa kuisha Utalipia subscription ya miez
sita,ambapo package ya miez sita ni
Tsh 60,000/,sawa na 10,000/ kwa
mwezi. Usipo lipia,bado gari yako itakua
inarusha taarifa kwetu japo storage
yake ya taarifa itakua ni ndogo
ambapo kila baada ya masaa
72,information zitakua cleared....kwa
ajiri ya kupokea taarifa mpya.

Lakini kwa walio lipia taarifa zao
haziwi cleared mwezi mzima na
watakua wanapokea report ya kila
mwez kwenye email zao kuhusu
routes zote pamoja na kilomita
ambazo gari imetembea.na taarifa zao zitatunzwa kwa matumiz ya baadae.

Na pia kwa wale wanao kusanya
picha na sauti ztatunzwa ktk database
yetu. Clarity said: Je kuna malipo ya kila mwezi? Sent using Jamii Forums mobile app

Kupitia system hii pia tunauwezo wa
kuizima gari,au kui-rock isiiwake
kama ukitupa amri hiyo

. Kama ukihitaji tutakuwekea
emergency button ambayo
ukibonyeza system itaanza kurecord
picha na sauti ndani ya gari,na pia
itatutumia taarifa za
emergency...tutajua location ulipo tutawasilina na polisi na ndugu na
jamaa.

(button hii inatumika kama
umevamiwa na majambazi au
waharifu ndani ya gari na si
vingnevyo).
Uzi mzuri huu

Bei ya system ndogo inaanzia 500,000/ kwa gari (kila kitu tukinunua sisi)

Na bei ni 250,000/- kwa gari (kama mteja atakuja na gps device yake).

Na 250,000/- kwa boda boda(kama kila kitu tukinunua sisi)

Na 150,000/- kwa boda boda (kama gps device ni yake).

0629068815

KARIBUN TUPO MACHINGA COMPLEX

kwenye gari binafsi tunafunga,kama
privacy ya muhusika inaruhusu!

Lakini pia unaweza kuomba baadhi
ya option zikawa deactivated hasa
kwa magari binafsi mfano option ya
kurecord picha na sauti tunaweza
kuzizima,ikabaki ya route tu. Kama gari ikiibiwa,itatulazimu option
zote tuwashe ili tuweze kukusanya
taarifa muhimu zitakazo saidia
kupatikana kwa gari yako.

Gharama za mwanzo za kufungiwa
tracking system znajumuisha pamoja
na subscription ya miez sita.

Hivyo utakuja kuanza kulipia baada
ya miez sita toka umefungiwa kuisha Utalipia subscription ya miez
sita,ambapo package ya miez sita ni
Tsh 60,000/,sawa na 10,000/ kwa
mwezi. Usipo lipia,bado gari yako itakua
inarusha taarifa kwetu japo storage
yake ya taarifa itakua ni ndogo
ambapo kila baada ya masaa
72,information zitakua cleared....kwa
ajiri ya kupokea taarifa mpya.

Lakini kwa walio lipia taarifa zao
haziwi cleared mwezi mzima na
watakua wanapokea report ya kila
mwez kwenye email zao kuhusu
routes zote pamoja na kilomita
ambazo gari imetembea.na taarifa zao zitatunzwa kwa matumiz ya baadae.

Na pia kwa wale wanao kusanya
picha na sauti ztatunzwa ktk database
yetu. Clarity said: Je kuna malipo ya kila mwezi? Sent using Jamii Forums mobile app

Kupitia system hii pia tunauwezo wa
kuizima gari,au kui-rock isiiwake
kama ukitupa amri hiyo

. Kama ukihitaji tutakuwekea
emergency button ambayo
ukibonyeza system itaanza kurecord
picha na sauti ndani ya gari,na pia
itatutumia taarifa za
emergency...tutajua location ulipo tutawasilina na polisi na ndugu na
jamaa.

(button hii inatumika kama
umevamiwa na majambazi au
waharifu ndani ya gari na si
vingnevyo).
1. Jina la kampuni hujaweka au wewe ni mtu binafsi.

2. Nifahamishe, GPS system nahitaji SIM card au inafanya vipi kujua location zake?

3. Je kuhusu taarifa kwenye simu ya mkononi mnatoa app yoyote Ile au ni nyie tu pekee mnakuwa na hiyo system

4. Kuna mtu ulimjibu kuhusu circuit assembly and coding, kwahiyo inamaanisha hakuna kifaa ambacho unafunga kwenye gari ni kuiweka kwenye mfumo wa computer wa gari?

5. Kama mnatumia devices ni brand gani mnatumia.

Je mnawebsite yoyote ile tuwaone?

Ok asante mkuu naomba ni kujibu....

1.Jina la kampuni ni LiB Innovation and Electronics (LBIE)

Tunajihusisha na shughuli mbalimbali za electronics,it,na networking.

2.Ndiyo GPS system inatumia SIM CARD,japo uwepo wa sim card kwenye GPS si kwa ajili ya kujua maaeneo,inasaidia katika mfumo wa GPRS (Mwishoni nitakuwekea link inayodadavua vizuri kuhusu GPS,niliyo iandika hapa hapa jf.)

3.Mwenye gari anawekewa app kwenye simu yake inayomfanya aone kila kinacho endelea kuhusu gari yake.na hupewa baadhi ya uwezo wa ku command GPS system.

4.Hapana mfumo wa GPS ni lazima ufungwe katika gari,kinachofanyiwa coding na setting ni GPS SYSTEM na siyo gari.

Baada ya kumaliza kuifanyia setting ndiyo tunaifunga system katika gari.Fahamu kuwa GPS SYSTEM siyo kifa kimoja ni mfumo wenye vifaa vingi ikiwemo GPS device yenyewe,Power bank,charging control,sensor control,relays n.k

Baada ya setting zote mfumo mzima huja kufungwa katika gari yako ukiwa umehifadhiwa katika water proof sealed box moja,ambayo ndiyo hufichwa katika gari yako.

5.Hatuweki brand za GPS device tunazotumia hadharani,hata hivyo firmware tunayo tumia haipo katika global market.Hii ni kwasababu ya kuepuka jamming kwa system zetu.

No bado hatujairudisha website,kwa sababu za kiusalama inahamishiwa ktk saver yake,sababu ilikua inashare VPS moja na GPS saver.

www.lbietz.com

Kuhusu maelezo ya kutosha ya mfumo wa GPS check hapa

Jinsi simu yako inavyoweza kukusaidia kupaipata gari yako au pikipiki yako iliyo ibiwa. - JamiiForums
 
Back
Top Bottom