jobel
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 321
- 174
Unaweza kutumia ndimu badala ya Limao poa tu
Mkuu MziziMkavu,asante kwa alternative, nimefarijika sana. Good day brother!
Unaweza kutumia ndimu badala ya Limao poa tu
Hii point nimeinakili Mzizi Mkavu sababu nami nimeshatapeliwa sana na wajanja kwa kuniuzia asali fake.Kuipata Asali Safi mbichi hapo ulipo kama ni Dares-Salaam huwezi kuipata mpaka utoke nje ya mji kama vile Kibaha kwa wafugaji Asali nakushauri mkuu. Asali Safi mbichi kuipima kwake ukisha nunuwa weka ndani ya Freji basi kama ni kweli hiyo Asali sio Feki basi haito ganda lakini kama ni Asali ni feki basi itaganda kwenye Friji.
Unakula kijiko kimoja Asali na kujipakaa kwenye kidonda Asali ni dawa kila maradhi.asali inasaidia mtu aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo?anatumiaje
Asante sana kwa kutupa Feedback ubarikiwe mbinguni ameen.Mimi mwenyewe nina ushuhuda nzuri wa Asali. Nilikuwa na matatizo makubwa sana ya vidonda vya tumbo, mafua makali sana ya mara kwa mara na haswa nikimkaribia mtu mwenye mafua, uzito mkubwa sana wa kufikia kilo 96 pamoja na Arthritis kali sana kiasi cha kutembea nikiwa nachechemea kwa ajili ya maumivu makali ya viungo.
Nilisoma humu humu Jamiiforum, maelekezo jinsi ya kutumia Asali kwa kuchanganya na mdalasini na maji ya uvuguvugu. Nilianza kutumia mchanganyiko huo asubuhi na jioni kila siku tokea mwezi wa Julai 2013.
Matokeo yake kwa kweli ni mazuri mno na ninajisikia vizuri ajabu. Vidonda vya tumbo vimetoweka, mafua makali sijawahi tena kuyapata hata kama nikikaa karibu na mgonjwa wa mafua, nimepungua uzito kwa kilo 12 kutoka 96 hadi 84, Maumivu makali ya viungo (Arthritis) yametoweka kabisa. Kwa ujumla nausikia mwili wangu kuwa mpya kabisa hata wafanyakazi wenzangu wananishangaa.
Bado naendelea kutumia mchanganyiko huo kwa kuwa nimeshazoea na imekuwa ngumu kwangu kuacha. Natoa ushauri wa kila mmoja anayeweza atumie na kwa kweli utaona mabadiliko katika afya yako.
MziziMkavu,nimeanza jana kutumia huo mseto. Inatest vizuri tu ni kama chachandu tena ya ukweli.Je, ni muda gani hasa inapaswa kutumiwa asubuhi,mchana au jioni? Je, naweza itumia wakati wa chakula au inatakiwa itumiwe kabla au baada ya kula?
Hongera kwa kutumia Dawa ya Miujiza unachotakiwa uwe unatumia kwa siku mara moja nayo ni kila Asubuhi unapo amka kabla ya kula au kunywa kitu ndio utumie hiyo dawa. Ukiweza na kutumia jioni pia sio mbaya lakini sio lazima sana ubora wake hii dawa utumie Asubuhi unapo amka kabla ya kula au kunyw akitu kisha unakaa kwa muda wa saa moja kupita ndipo waweza kula chakula chako cha asubuhi mkuu jobelMziziMkavu,nimeanza jana kutumia huo mseto. Inatest vizuri tu ni kama chachandu tena ya ukweli.Je, ni muda gani hasa inapaswa kutumiwa asubuhi,mchana au jioni? Je, naweza itumia wakati wa chakula au inatakiwa itumiwe kabla au baada ya kula?
Babu Asprin nimesha mpa mafaida kibao kazi kwake atumie itamsaidia kuondosha sumu na uchafu kwenye damu na mkojo mwilini mwake.Dr. MziziMkavu njoo pande hii ujibu hii makitu. Ntafurahi kama utatupa ratio ya huu mseto. Tushachoka kudungwa misindano sie.
Unaweza kuchanganya pamoja ukala haina madhara kabisa.
Usimpe mtoto chini ya mwaka mmoja Asali, Utafiti wangu ikiwa ni wakweli au sio wa kweli fanya wewe huo utafiti wangu utaona majibu yake.Utafiti wako ni wa kweli MziziMkavu
Hivi eti watoto wadogo chini ya mwaka hawatakiwi kula asali?
Nimefanya utafiti kwangu mimi mwenyewe ndio nikagunduwa huo ungunduzi wangu kuwa asali inao uwezi wa kusafisha Ini na Figo ukiitumia siku 40 Mfululizo na pia itakuwezesha wewe Mwanamme Dushelele (Penis) lako kusimama kila wakati unapo taka kulitumia kimapenzi kazi kwenu.
Labda tumbo lako linakudanganya jaribu kuwa kila unapo taka kula asali chukuwa kijiko kimoja cha Asali changanya na maji ya Uvuguvugu glasi moja uwe unakunywa kila wakati unapo taka kunywa hiyo asali fanya hivyo, Kisha uje unipe feedback. Asali ni dawa ya Naturall ya kuongeza nguvu za kiume ukiwa unakula kila siku basi utakuw ana nguvu za kiume. Asali ni Dawa inayo tibu maradhi mengi tu Mojawapo ya Maradhi inayotibu Asali ni haya hapa chini :Mimi sijui nina matatizo gani kwani nikila asali tumbo lauma ile mbaya.
Ila kuna uhusiano gani kati ya asali na maumbile ya kuime?
kila unapo taka kula Asali chukuwa kijiko kimoja cha Asali changanya na maji ya Uvugvugu glasi moja uwe unakunywa kila wakati unapo taka kunywa hiyo asali fanya hivyo, Kisha uje unipe feedback.mimi asali mbichi mbona inanisababishia tumbo kujaa gas na kuwa na maumivu?msaada tafadhari
Mjuvi anijuze,
Nilinunua asali mbichi lita 5 toka kwa warina asali lakini baada ya mwezi tu imeanza kuganda ihali ilikuwa ya kumiminika, je sababu ni nini.
je nini nifanye isigande.
Imewekwa katika chombo cha plastiki (galoni)
Labda tumbo lako linakudanganya jaribu kuwa kila unapo taka kula asali chukuwa kijiko kimoja cha Asali changanya na maji ya Uvuguvugu glasi moja uwe unakunywa kila wakati unapo taka kunywa hiyo asali fanya hivyo, Kisha uje unipe feedback. Asali ni dawa ya Naturall ya kuongeza nguvu za kiume ukiwa unakula kila siku basi utakuw ana nguvu za kiume. Asali ni Dawa inayo tibu maradhi mengi tu Mojawapo ya Maradhi inayotibu Asali ni haya hapa chini :
YAFAHAMU MAGONJWA 23 YANAYOTIBIWA KWA MATUMIZI YA ASALI
By MziziMkavu at 18:23 FAIDA ZA ASALI No comments
1. Ugonjwa wa viungo/maumivu na uvimbe.
2. Kukatika kwa nywele.
3. Ukungu wa miguu.
4. Maambukizo kwenye kibofu cha mkojo.
5. Maumivu ya jino.
6. Lehemu (Cholestral).
7. Ugumba
8. Mchafuko wa tumbo.
9. Ugonjwa wa moyo
10. Shinikizo la damu.
11. Kinga ya mwili.
12. Ukosefu wa nguvu za kiume.
13. Flu.
14. Umri wa kuishi.
15. Chunusi.
16. Kuumwa na wadudu (kwa washawasha) wenye sumu.
17. Madhara ya ngozi.
18. Kupungua kwa uzito.
19. Saratani.
20. Uchovu mwilini.
22. Harufu mwilini.
23. Kupungua kwa usikivu
Ukiwa na Swali lolote lile unaweza kuwasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi Mkavu