Fahamu mambo 11 ambayo huyajui kuhusu samaki

Kambalae siyo samaki ni chura.

Katika wale ndubwi atakayeota miguu anakua chura atakayekosa miguu anaevolve na kua kambale.

Samaki huhitaji maji kuishi ila kambale waweza mtoa kwenye maji ukamuacha kwenye beseni kwa saa mbili na ukamkuta yupo hai.

Akijifukia kwenye tope ndiyo utamsahau ila siku ukifukua tope unamkuta.

Si ndo tuanze kula vyura sasa
Kambale ana mapafu
 
Kambale, my favourite fish.

Nikimpata fresh na apikwe tu hivyo hivyo bila viongo vya ajabu ajabu,yaani maji na chumvi ama limao kwa mbali tu na ugali wa muhogo laini, maisha yanakua matamu sana.

Kwangu kambale kisha anafuata Sato, ila watu wa kanda ya ziwa tunajua kwenye mito na ziwani kuna visamaki species nyingine vidogo vidogo vitamu balaa, vingine vina rangi rangi, mabaka mabaka, sijui ningu na majina mengine ambayo sijapata kiswahili chake fasaha.

Hiyo picha hapo huyo ni kamongo na sijui kwa kimombo anaitwaje. Ni mtamu balaa, hana mfupa. Ndugu zangu wajaluo wanasema kamongo asinda nyama, kwa maharage atoka droo, eeh yawah, omera. Machiegni omera.
Napenda sana kambale...nikifika dodoma lazima nile kambale wa kutoka hombolo
 
Kambalae siyo samaki ni chura.

Katika wale ndubwi atakayeota miguu anakua chura atakayekosa miguu anaevolve na kua kambale.

Samaki huhitaji maji kuishi ila kambale waweza mtoa kwenye maji ukamuacha kwenye beseni kwa saa mbili na ukamkuta yupo hai.

Akijifukia kwenye tope ndiyo utamsahau ila siku ukifukua tope unamkuta.

Si ndo tuanze kula vyura sasa
Hii taarifa uliitoa wapi??
 
Hiyo ya kufanya na kufanywa nimeielewa aiseeee....
Kumbe ndiomaana skuizi kuna samaki wamelegea sana, bilashaka watakua ni magasho....🙄
 
Back
Top Bottom