Fahamu madhara ya mabaki ya chakula tumboni !!

Melkiad Jr

New Member
Nov 9, 2018
3
1
Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?!
Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu ndani ya nyumba yako halafu unauweka kwenye ndoo, kila mara ikijaa unauacha uchafu huo ndani halafu unaweka kwenye ndoo nyingine lakini hautoi nje. Ebu fikiria usipoutoa uchafu huo kwa wiki, mwezi hata mwaka unahisi kitatokea nini na je utaendelea kuishi kwenye hiyo nyumba...THUBUTU.?!

Ninachoongelea hapa ni matokeo ya chakula kinachobaki tumboni mwako kwa sababu hakijasagwa vizuri au kimeshindwa kutoka wakati unaotakiwa.

UNAJUA MADHARA YAKE NI YAPI UKIENDELEA NA HALI HIYO?
Madhara yake hufanya mabaki hayo kugeuzwa kuwa sumu ambayo miili yetu hunyonya na hatimaye huathiri mifumo yetu.

Hali hii ikiendelea bila kupewa ufumbuzi wowote kwa WANAUME husababisha kutopata choo, UTI, FANGASI ,kuota nyama kwenye sehemu ya haja kubwa, matatizo kwenye kibofu cha mkojo, ngozi, kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi, kushindwa kumpa mimba mwanamke na kuwa na uzito uliopitiliza.

Hichi ni chanzo kikubwa sana kwa wanaume wengi kusaidiwa tendo la ndoa na vijana wa nje...Ni mwanaume gani angependa mke wake asaidiwe kazi na vijana wa nje ?

Pia kwa WANAWAKE husababisha kushindwa kupata choo, kushika mimba, UTI, FANGASI, kuota nyama kwenye sehemu ya haja kubwa, matatizo kwenye hedhi, ngozi, saratani, homoni, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa na kuwa na uzito uliopitiliza.

Hichi ni chanzo kikubwa sana cha msongo wa mawazo, hakuna amani kwenye mahusiano, kutokujiamini na mwishowe hupelekea wanaume kuwa na michepuko...Ni mwanamke yupi anapenda kuona mme wake ana mchepuko?

Kuelewa upana wa hii hali itabidi ujue maeneo makuu ambayo huathirika sana sumu zikizidi mwilini.
- UTUMBO MPANA.
Hupata madhara baada ya uchafu kukaa kwa muda mrefu bila sisi kujua.
- INI.
Baada ya utumbo mpana kushindwa kazi yake ini huanza kudhurika kwanza.
Je unamfahamu mtu yoyote ambae anasumbuliwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara?! Hii hutokea kama kiashiria kuwa ubongo unalia hautaki sumu kwenye damu sababu ini limeshindwa kufanya kazi...pia mwili unakuwa hauna nguvu umechoka muda wote, matatizo ya kumbu kumbu, cholesterol, hauna hamu ya kufanya mapenzi na matatizo ya mifupa.
- FIGO.
Ini ikishindwa kufanya kazi inamaana figo itaingilia kupiga kazi. Sasa figo ikizidiwa husababisha maumivu ya mgongo, shinikizo la damu n.k
- MAPAFU.
Husaidia kuzuia sumu baada ya figo kushindwa kazi. Mapafu yakizidiwa husababisha mtu kuwa na harufu mbaya mwili, matatizo kwenye mfumo wa kupumua na aleji mwilini.
- NGOZI.
Sehemu kubwa ya utoaji uchafu mwilini iko kwenye ngozi, kama hivyo viungo vyote vitashindwa kazi basi sumu huamia kwenye ngozi, utakuta mtu ana matatizo ya ngozi, anaonekana mzee kuliko umri wake.
Sasa kama unaoga kila siku kwa nje uwe msafi na mwenye muonekano bora kwa nini hautunzi ndani ya mwili wako pia pawe pasafi ?!
Hayo yote yanasababisha miili yetu kuanza kuzeeka kwa ndani na sio nje kama wengi wajuavyo.
 
Attachments

  • 31318011_2503600359866070_4349532454608961536_n.jpg
    31318011_2503600359866070_4349532454608961536_n.jpg
    62 KB · Views: 89

Tufahamishe hii hali inasababishwa na nini?Na tujiepushe vipi?Na matibabu yake ni vipi.
 
Asante kwa somo zuri,nilikuwa nafuatilia mpaka mwisho nikajua ntakutana na 'kwa maelekezo zaidi nitafute kwa namba hii..'kumbe ilikuwa ni elimu,ubarikiwe sana...
 
Mada muhimu sana ila ilikosa wachangiaji! Nadhani ilimezwa na tukio kubwa lililoibuka kipindi hicho!!sijui ni ile meli ya ukara ilizama?
 
JF tuanzishe operation KITAMBI NOMA. Bia tuonane nikifulia.
Hii itasaidia sana kuiweka miili yetu physically fit.
Hata kama mama ana vijana wasaidizi, lazima atangazie kufuta kwa ajira feki
 
Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?!
Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu ndani ya nyumba yako halafu unauweka kwenye ndoo, kila mara ikijaa unauacha uchafu huo ndani halafu unaweka kwenye ndoo nyingine lakini hautoi nje. Ebu fikiria usipoutoa uchafu huo kwa wiki, mwezi hata mwaka unahisi kitatokea nini na je utaendelea kuishi kwenye hiyo nyumba...THUBUTU.?!

Ninachoongelea hapa ni matokeo ya chakula kinachobaki tumboni mwako kwa sababu hakijasagwa vizuri au kimeshindwa kutoka wakati unaotakiwa.

UNAJUA MADHARA YAKE NI YAPI UKIENDELEA NA HALI HIYO?
Madhara yake hufanya mabaki hayo kugeuzwa kuwa sumu ambayo miili yetu hunyonya na hatimaye huathiri mifumo yetu.

Hali hii ikiendelea bila kupewa ufumbuzi wowote kwa WANAUME husababisha kutopata choo, UTI, FANGASI ,kuota nyama kwenye sehemu ya haja kubwa, matatizo kwenye kibofu cha mkojo, ngozi, kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi, kushindwa kumpa mimba mwanamke na kuwa na uzito uliopitiliza.

Hichi ni chanzo kikubwa sana kwa wanaume wengi kusaidiwa tendo la ndoa na vijana wa nje...Ni mwanaume gani angependa mke wake asaidiwe kazi na vijana wa nje ?

Pia kwa WANAWAKE husababisha kushindwa kupata choo, kushika mimba, UTI, FANGASI, kuota nyama kwenye sehemu ya haja kubwa, matatizo kwenye hedhi, ngozi, saratani, homoni, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa na kuwa na uzito uliopitiliza.

Hichi ni chanzo kikubwa sana cha msongo wa mawazo, hakuna amani kwenye mahusiano, kutokujiamini na mwishowe hupelekea wanaume kuwa na michepuko...Ni mwanamke yupi anapenda kuona mme wake ana mchepuko?

Kuelewa upana wa hii hali itabidi ujue maeneo makuu ambayo huathirika sana sumu zikizidi mwilini.
- UTUMBO MPANA.
Hupata madhara baada ya uchafu kukaa kwa muda mrefu bila sisi kujua.
- INI.
Baada ya utumbo mpana kushindwa kazi yake ini huanza kudhurika kwanza.
Je unamfahamu mtu yoyote ambae anasumbuliwa na maumivu ya kichwa mara kwa mara?! Hii hutokea kama kiashiria kuwa ubongo unalia hautaki sumu kwenye damu sababu ini limeshindwa kufanya kazi...pia mwili unakuwa hauna nguvu umechoka muda wote, matatizo ya kumbu kumbu, cholesterol, hauna hamu ya kufanya mapenzi na matatizo ya mifupa.
- FIGO.
Ini ikishindwa kufanya kazi inamaana figo itaingilia kupiga kazi. Sasa figo ikizidiwa husababisha maumivu ya mgongo, shinikizo la damu n.k
- MAPAFU.
Husaidia kuzuia sumu baada ya figo kushindwa kazi. Mapafu yakizidiwa husababisha mtu kuwa na harufu mbaya mwili, matatizo kwenye mfumo wa kupumua na aleji mwilini.
- NGOZI.
Sehemu kubwa ya utoaji uchafu mwilini iko kwenye ngozi, kama hivyo viungo vyote vitashindwa kazi basi sumu huamia kwenye ngozi, utakuta mtu ana matatizo ya ngozi, anaonekana mzee kuliko umri wake.
Sasa kama unaoga kila siku kwa nje uwe msafi na mwenye muonekano bora kwa nini hautunzi ndani ya mwili wako pia pawe pasafi ?!
Hayo yote yanasababisha miili yetu kuanza kuzeeka kwa ndani na sio nje kama wengi wajuavyo.
How to avoid please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom