tambuaafyayako

 1. Festo Ngadaya

  Fahamu maana ya Herd immunity kwa kiswahili

  Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi. Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10, ikatokea umeingia ugonjwa unaoweza kuambukiza. ukawapata watu sita kati yenu, lakini hawa watu sita...
 2. Kaka Pekee

  Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

  Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
 3. Melkiad Jr

  Fahamu madhara ya mabaki ya chakula tumboni !!

  Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?! Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu ndani ya nyumba yako halafu unauweka kwenye ndoo, kila mara ikijaa unauacha uchafu huo ndani halafu...
Top Bottom