Fahamu machache kuhusu titanic

Fahamu machache kuhusu titanic

Namimi nakuja kukubeba maana wadar chips mingi Sana hawana nguvu,,,,,hongeren wanaume wa mkoani
 
Soma vizuri mkuu,hyo sio nauli ni thamani ya utajiri wa huyo bwana kwa pesa ya leo in US dollar
Mkuu nimeamua niikopi namba 5 km ilivyo, hii hapa chini

''5 .bei ya nauli ya titanic ilikua ni $4700 kwa sasa ni sawa na dola laki tano ,sawa na tsh 1,127,307,427''
 
Kimwili tunaamini ya kuwa iligonga mwamba ila tukienda ktk ulimwengu wa roho tunaamini kwamba kuna mambo mengi yanatokea ili kuleta makusudi flani. Ninaomba nisizungumze mengi sana ktk hili naomba tujiulize swali hili.

Kabla meli haijagonga mwamba, zilitolewa alerts mara 6 kuwa kuna miamba mbele, kwa akili ya kawaida manahodha hawakuona kama ni kweli kuna miamba mbele licha ya meli kuwa ni ya kifahari kabisa?
 
Mkuu nimeamua niikopi namba 5 km ilivyo, hii hapa chini

''5 .bei ya nauli ya titanic ilikua ni $4700 kwa sasa ni sawa na dola laki tano ,sawa na tsh 1,127,307,427''
Mkuu,,ni tatizo la kiuandishi
 
Achaneni na Mungu kabisaaaa
Nashangaaaa hawa wanasiasa wanamdhihaki Mungu as kama mwanadamu!!!
Kuna MTU alishindaga urais alipohojiwa akasema hiwe isiwe lazima kesho apishwe awe rahisi hata Mungu asipopenda!
Ajabu alikufaa usiku wake!!!
Kuna huyu wa kwetu kwa sasa, yeye anaamini ni Very Perfect human being and even enough to lead angels. Na anaweza kufanya chochote juu ya mtanzania yoyote pasipo mtu yoyote kumzuia.

Sisi tunamuachia Mwenyezi Mungu amfundishe adabu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom