1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.
2. Data protection. Kila kitu kwenye iphone kiko well secured kwenye icloud (picha, music, videos, files etc. Kiasi ukiibiwa simu unaweza kutumia iphone ya mtu mwingine kuretrieve data zako. Zikarudi zote kama awali. Tofauti na android ambapo ukipoteza simu ndio nitolee hiyo.
Kingine si rahisi kushare data zako na watu wengine ukiwa na iphone. Tofauti na android ambapo unaweza kurusha kupitia Bluetooth, kwenye computer, mitandaoni etc bila restrictions za aina yeyote hivyo kuifanya iphone kuwa imara zaidi na zaidi.
Depreciation value. Iphone inakaa mda mrefu bila kupoteza value tofauti na android. Example iphone ya miaka m3 nyuma bei yake ni kubwa sana kuliko bei ya simu yoyote ya android ya miaka m3. Nyuma. Android zinawahi sana kushuka thamani kuliko iphone.
Photo and video quality ya iphone ni bora sana kuliko simu yeyote ya android kitu kinachoongezea points iphone na kuonekana ni simu bora sana kwani sababu kubwa ya watu kumiliki smartphone ni hiyo.(multimedia)
Simplicity. Iphone ni rahisi kuitumia. Ukitoa lock screen tu unaenda direct kwenye home screen unaanza kutumia simu yako. Action button iko pembeni kuta touch assistant na features nyingine kibao zinazoongeza Simplicity kwenye simu.