Umemaliza kila kitu.Wanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special.
Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto 😂
Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email.
Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!
Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.
Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe.
Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!
Umekaa kizembe sana babu..😅
Ecosystem ya apple products ni imara sana kwenye hardware nafikiri kushinda products nyingine za electronics.Umemaliza kila kitu.
Mazee kuishi uswahilini kunanizuia nisilinde taarifa zangu dhidi yenu?Mtu Unaishi uswahilini unashindia energy drinks na vitumbua afu unatambia security ya iphone 😂
Una taarifa gn za kulinda?Mazee kuishi uswahilini kunanizuia nisilinde taarifa zangu dhidi yenu?
Picha na video za porn.Una taarifa gn za kulinda?
Hazina maajabu hizo, kwan tumeona ngapi na imekuwaje? weka humu 🗑️Picha na video za porn.
Mmeona zingine, nilizonazo hamjawahi kuziona.Hazina maajabu hizo, kwan tumeona ngapi na imekuwaje? weka humu 🗑️
Hakuna jipya kwenye kulombanaMmeona zingine, nilizonazo hamjawahi kuziona.
Siku zikivuja mitandao itazimwa kama oktoba 29.
Samsung A17 ni bora kuliko IPhone ipi au A series hatuihesabu kama Samsung ?Samsung ni bora kuliko IPhone hata hii S 26 utra ni simu hakuna goggle pixel ukaiweka kwenye kundi la IPhone za sasa hivi au Samsung.
Pixels ndugu zake Huawei,Oppo na Vivo..
Hizo A 17 za wanafunzi mkuu..Samsung A17 ni bora kuliko IPhone ipi au A series hatuihesabu kama Samsung ?
Ushaharibu siku yangu mkuu.Hizo A 17 za wanafunzi mkuu..
Mtu Unaishi uswahilini unashindia energy drinks na vitumbua afu unatambia security ya iphone 😂
Daah pole sana mkuu sijajua kama unatumia hiyo mazee na wala lengo langu lilikua sio hilo..Ushaharibu siku yangu mkuu.
Ngoja nitafute hata iphone X tu kupunguza machungu