Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Iphone ina ulinzi imara haidukuliki sasa ww mtu akudukue unataalifa gani nyeti ya kampun,nchi,ulinz au usalama? (VIJANA KWELI WANA VITUKO) Then mwisho utasikia android hamna kitu mle
 
1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.

2. Data protection. Kila kitu kwenye iphone kiko well secured kwenye icloud (picha, music, videos, files etc. Kiasi ukiibiwa simu unaweza kutumia iphone ya mtu mwingine kuretrieve data zako. Zikarudi zote kama awali. Tofauti na android ambapo ukipoteza simu ndio nitolee hiyo.

Kingine si rahisi kushare data zako na watu wengine ukiwa na iphone. Tofauti na android ambapo unaweza kurusha kupitia Bluetooth, kwenye computer, mitandaoni etc bila restrictions za aina yeyote hivyo kuifanya iphone kuwa imara zaidi na zaidi.

Depreciation value. Iphone inakaa mda mrefu bila kupoteza value tofauti na android. Example iphone ya miaka m3 nyuma bei yake ni kubwa sana kuliko bei ya simu yoyote ya android ya miaka m3. Nyuma. Android zinawahi sana kushuka thamani kuliko iphone.

Photo [emoji991] and video quality ya iphone ni bora sana kuliko simu yeyote ya android kitu kinachoongezea points iphone na kuonekana ni simu bora sana [emoji28] kwani sababu kubwa ya watu kumiliki smartphone ni hiyo.(multimedia)

Simplicity. Iphone ni rahisi kuitumia. Ukitoa lock screen tu unaenda direct kwenye home screen unaanza kutumia simu yako. Action button iko pembeni kuta touch assistant na features nyingine kibao zinazoongeza Simplicity kwenye simu.
Sawa nimekuelewa ila siipendi tu sijui kwanini...
 
Huwa mnalinda taarifa gani hizo kwenye simu?

Picha za vinyeo? mbona hiyo kawaida sana nani asiyejua sura ya kinyeo?

Hata ukificha vinyeo kwenye simu, wote tuna vinyeo na tunajua vinafananaje.

Acha kujitaabisha my friends, ladies and gentlemen.

Cc: Monetary doctor Poor Brain Mbaga Jr Tlaatlaah
Mmmh si wote wanajua vinyeo vinafananaje aiseee acha mambo yako wewe mpaka ujue kinafanana vipi ilikuaje kuaje... 😂😂😂😂😂
 
Watu wa Iphone si kwa ubaya ILA kiufupi wanateseka sana kwa hizi nchi zetu za africa..
Just imagine Transfer ya vtu ulivyo complex aiseee.
 
Huwa mnalinda taarifa gani hizo kwenye simu?

Picha za vinyeo? mbona hiyo kawaida sana nani asiyejua sura ya kinyeo?

Hata ukificha vinyeo kwenye simu, wote tuna vinyeo na tunajua vinafananaje.

Acha kujitaabisha my friends, ladies and gentlemen.

Cc: Monetary doctor Poor Brain Mbaga Jr Tlaatlaah
Mbamizwa chogo wakati una type huangalii hata pembeni maake mtu anaweza zimia atiiiiiiii babanguuuu 🤣 😆
 
Angalia matajiri wa kweli simu gani wanatumia (najua ni Samsung)

Ila sasa wale matajiri uchwara na wasomi na mawinga ni Sim zipi wanatumia
Matajiri wa kweli wanatumia Samsung kwa sababu haina mambo mengi na viingereza vichache tofauti na mzala IPhone...
Samsung for life mkinitoa hapa labda kwa Excavator itumike..
 
Mmmh si wote wanajua vinyeo vinafananaje aiseee acha mambo yako wewe mpaka ujue kinafanana vipi ilikuaje kuaje... 😂😂😂😂😂
ina maana shem hujui sura ya kinyeo chako kweli?

Hujawai kukifotoa picha?
 
Back
Top Bottom