Fahamu kwa ufupi kuhusu International Space Station (ISS); kituo cha anga cha kimataifa

Nafikiri unaongelea muonekano wa hicho kituo huko angani kati ya siku hizo itakapoonekana??
Jibu ni; Itaonekana kama nyota fulani kubwa kiasi kwa kuitazama kwa macho ila kwa kifaa maalumu itaonekana kama kilivyo.
..ikiwa inapita kasi ama nayo ikiwa imetulia tu kama nyota?
 
Bill Gates aliwahi ku fund research ya namna/uwezekano wa kugeuza kinyesi cha binadamu kua Chakula ili wana anga wawe wanakigeuza msosi huko huko juu.,wasipate shida ya msosi.

Na niko serious kwenye hili kama kuna anayebisha aseme hapa niweke Link.
Mkuu, usingoje mpaka MTU abishe ndipo uone umuhimu wa kuweka link.
Naamini kuwa post yako ingekuwa njema zaidi kwa kuweka tu link moja kwa Moja ili msomaji adhibitishe ulichoandika bila were kusubiri abishe!
Kwa hivyo unaamini kabisa usipoona post ya kubisha ulichoandika walioisoma wrote wanakubaliana na ulichoandika??
 
Kwanza watu wanatakiwa kujua licha ya ISS kuwa chini ya mataifa washirika kama USA, Canada, Japan, Europe, Russia, India, China etc. lakini imegawanywa sehemu kuu mbili yaani upande wa Russia chini ya Roscosmos na USA, ingawa upande wa USA hutumiwa na mataifa tofauti kwa kibali cha NASA tofauti na kule upande wa Russia.
Pia kuhusu choo ipo mifumo miwili yaani older system and morden system, vyoo ndani ya ISS vinatumia hewa/upepo (air flow) na sio maji, kinyesi na mkojo huwekwa katika special bags na kuhifadhiwa katika waste storage drawer, pia inafahamika zaidi kuwa Russia ndio designer na manufacturer wa vyoo vilivyopo ISS, yapo maelezo mengi kuhusu namna space toilet or zero gravity toilet jinsi kilivyo.
 
Sijajua watapeleka wapi. Kwa nini nimesema 'wata'? Kwa sababu hakijawahi kujaa na wanasayansi waoishi huko angani sio wengi na wanapokezana kwa kila baada ya miezi 6. Waliokuwepo angani hurudi duniani na kuwaachia wengine waendeleze mission.
Wanatafuta nn huko,au wanafanya mission gani? Na wamefikia wapi kwenye mission yao
 
Naomba kujua umesema hiki chombo kina speed hizo na kipo angani ambapo hakipo kwenye anga hewa ya dunia inamaana waliopo huko dunia wanaiona kwa chini. Sasa swali inakuwaje hakitoki nje mzunguko wake na kupotea kabisa? Kipo umbali gani kutoka usawa wa bahari?
Ukipata jibu ysisahau Tag kwangu mkuu
 
The Transporter,
Naomba nikurekebishe hapa "hakipo kwenye anga hewa ya dunia". ISS ipo katika "low earth orbit" means bado ipo katika anga hewa la dunia.
Nanukuu "A low Earth orbit (LEO) is an Earth-centered orbit with an altitude of 2,000 km (1,200 mi) or less (approximately one-third of the radius of Earth), or with at least 11.25 periods per day (an orbital period of 128 minutes or less) and an eccentricity less than 0.25. Most of the manmade objects in outer space are in LEO". Cc: Wikipedia
 
Naomba kujua umesema hiki chombo kina speed hizo na kipo angani ambapo hakipo kwenye anga hewa ya dunia inamaana waliopo huko dunia wanaiona kwa chini. Sasa swali inakuwaje hakitoki nje mzunguko wake na kupotea kabisa? Kipo umbali gani kutoka usawa wa bahari?
Mkuu, hakiwezi kutoka nje ya njia yake na endapo ikitokea hivyo kinaweza kuboostiwa manually kutoka kwa wataalam wa huku duniani kurudi katika eneo inapostahili kuwepo.
 
zero gravity ya outer space haiwezi kuathiri na ku exist mpaka ndani ya mwili wa binadamu aliyeko huko mkuu ?
Haijathibitishwa kama kuna madhara yoyote yamewahi kutokea. Lakini kabla ya kukutana na hali kama hiyo huko outer space wanaanga hupata muda wa kutosha si chini ya mwezi mmoja kujifunza na kuzoea hali hiyo kwenye mafunzo yao kabla ya kwenda angani.
 
Kwa hiyo mfano austronaunt akila chakula kinafika tumboni vizuri tu ambako ni chini na chini kitu kuenda ni ngumu kwa sababu hakuna g.f mkuu inakuwaje hapo
 
Mkuu hapo biology ktk topic ya "digestion system" ya kidato Cha tatu inahusika. Kuna kitu kinaitwa peristalsis movement itahusika, achana na space chakula hata ukila ukiwa kichwa juu miguu chini lazima kitashuka tu tumboni.
Kwa hiyo mfano austronaunt akila chakula kinafika tumboni vizuri tu ambako ni chini na chini kitu kuenda ni ngumu kwa sababu hakuna g.f mkuu inakuwaje hapo
 
Bill Gates aliwahi ku fund research ya namna/uwezekano wa kugeuza kinyesi cha binadamu kua Chakula ili wana anga wawe wanakigeuza msosi huko huko juu.,wasipate shida ya msosi.

Na niko serious kwenye hili kama kuna anayebisha aseme hapa niweke Link.
Labda kinyesi cha hukohuko lakini kinyesi cha kule kwetu kwanza kifaa tu kinaweza ugua kipindupindu
 
Kwa hiyo mfano austronaunt akila chakula kinafika tumboni vizuri tu ambako ni chini na chini kitu kuenda ni ngumu kwa sababu hakuna g.f mkuu inakuwaje hapo
Kushuka kwa chakula hakuna mahusiano na GF isipokuwa kuna Mechanism inaitwa Peristalsis ambapo chakula kinashuka ktk mfumo wa mawimbi. Unaweza fanya majaribio hata nyumbani simama kwa mikono miguu egemesha ukutani halafu meza kitu hata maji utaona yakishafika kenye koo yanaendelea hadi tumboni bila shida yoyote
 
Utafiti unaompa akafanye mbona unahatari hasa wa kunywa maji miguu juu
 
Kushuka kwa chakula hakuna mahusiano na GF isipokuwa kuna Mechanism inaitwa Peristalsis ambapo chakula kinashuka ktk mfumo wa mawimbi. Unaweza fanya majaribio hata nyumbani simama kwa mikono miguu egemesha ukutani halafu meza kitu hata maji utaona yakishafika kenye koo yanaendelea hadi tumboni bila shida yoyote

Asante sana kwa ufafanuzi mkuu
 
Back
Top Bottom