Rekodi ya wanaanga wengi zaidi angani

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Rekodi kubwa yawekwa kwa binadamu wengi kuweza kuwepo katika vyombo mbalimbali huko anga za mbali , jumla ya binadamu 17 angani kwa wakati mmoja .

Mpaka sasa dunia inazungukwa na jumla ya vyombo viwili vyenye uwezo wa kubeba binadamu ambapo ni kituo cha anga za uchina na kituo cha anga cha kimataifa iss .

Kituo cha China mpaka sasa kimeweza kuwa na jumla ya wanaanga 6 na huku kituo cha kimataifa cha iss kiliweza kuwa na jumla ya wanaanga 11 ambapo siku ya leo wanaanga wanne waliweza kushuka duniani ( Axiom-2 )

Mategemeo katika masiku ya usoni ni kuweza kufanya wanadamu kuwa m
Rekodi kubwa yawekwa kwa binadamu wengi kuweza kuwepo katika vyombo mbalimbali huko anga za mbali , jumla ya binadamu 17 angani kwa wakati mmoja .

Mategemeo katika masiku ya usoni ni kuweza kufanya wanadamu kuwa kiumbe kinachoweza kupatikana zaidi ya eneo moja ulimwenguni ambapo awali tulizoea kuwaona duniani tu

Tunafahamu kuwa mpango wa wanadamu wa kwenda kuishi mwezini na bila kusahau ule mpango wa kwenda Mars kufanya colonising

Moudyswema
Astronomylughayakiswahili
FB_IMG_1685555814713.jpg
 
Back
Top Bottom