Tazama kipande cha video kutoka ISS jinsi jua linavyozama

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Wanaanga waliokuwepo katika kituo cha kimataifa cha anga za mbali wanaweza kuona Mawio na Machweo kwa mara 16 kwa kila kipindi kwa masaa 24.

Kituo cha anga kinamaliza mzunguko 1 wa kuzunguka dunia yetu kwa dakika 90 ambapo kwa masaa 24 hutimia na kufikia mizunguko 16 hivyo huwafanya wanaanga wote kuweza kushuhudia vipindi hivyo kwa mara 16 kwa kila kimoja.

Kipande cha video hapo chini unaweza kuona Kitendo cha kuzama kwa Jua inavyoonekana huko anga za juu.

Gerald
moudyswema
geraldchristopher1@gmail.com

Niulize swali, hivi jua liko stationary au is moving/is in motion and if so how? arrangement ya dunia, jua , mwezi ikoje in pictorial three dimension
"Revolution" refers the object's orbital motion around another object. For example, Earth rotates on its own axis, producing the 24-hour day. Earth revolves about the Sun, producing the 365-day year.

Does the sun move or do we move?

Image result for does the sun move around the earth

As the Earth rotates, it also moves, or revolves, around the Sun. The Earth's path around the Sun is called its orbit. It takes the Earth one year, or 365 1/4 days, to completely orbit the Sun. As the Earth orbits the Sun, the Moon orbits the Earth.

Does the sun move or just rotate?

Image result for does the sun move around the earth

The Sun rotates on its axis once in about 27 days. This rotation was first detected by observing the motion of sunspots. The Sun's rotation axis is tilted by about 7.25 degrees from the axis of the Earth's orbit so we see more of the Sun's north pole in September of each year and more of its south pole in March.
 
The sun and the entire solar system move in orbit around the center of the Milky Way galaxy.

Ukiangalia avatar yangu utaona nyota zote za Milky Way Galaxy zinazunguka katikati ya galaxy katika some whirlpool centripetal motion.

Kama sayari zinavyozunguka jua, jua na sayari zote nazo zinazunguka center of the galaxy.

See this NASA link for more.

Retired
 
Wanaanga waliokuwepo katika kituo cha kimataifa cha anga za mbali wanaweza kuona Mawio na Machweo kwa mara 16 kwa kila kipindi kwa masaa 24.

Kituo cha anga kinamaliza mzunguko 1 wa kuzunguka dunia yetu kwa dakika 60 ambapo kwa masaa 24 hutimia na kufikia mizunguko 16 hivyo huwafanya wanaanga wote kuweza kushuhudia vipindi hivyo kwa mara 16 kwa kila kimoja.

Kipande cha video hapo chini unaweza kuona Kitendo cha kuzama kwa Jua inavyoonekana huko anga za juu.

Gerald
moudyswema
geraldchristopher1@gmail.com

View attachment 2484378

Kifaa kilichorecord hii clip, Inaonekana kipo kati ya Dunia na jua. Dunia inaonekana inaspin, ilakifaa kinachorecord, kimebaki kuwa stationary, hapo imenipa picha kuwa hakijawa attached kwenye Dunia. Kama spinning ya Dunia haiathiri hicho kifaa, alaf upande wa pili tunaona jua nalo linapotea mdogo mdogo, imenipa picha kuwa jua nalo lipo kwenye movement. Yani jua ndio linarotate kuzunguka Dunia.

Nipe ufafanuzi
 
Video nimeshaiangalia,
Ninataka ueleze hiyo Elimu ya jua kuzunguka,
Elimu zote tumezipata Kwa wazungu.
Jua na sayari zake zote pamoja tunazunguka center of the galaxy, The Milky Way Galaxy.

See post #13.

Mwezi unazunguka dunia.

Dunia na mwezi, pamoja na sayari zote na miezi yote ya solar system vinazunguka jua.

Jua, sayari zote na miezi yote ya sayari hizo vinazunguka center of the Milky Way Galaxy.

Specifically the sun orbits the supermassive black hole at the center of the Milky Way Galaxy.
 
Niulize swali, hivi jua liko stationary au is moving/is in motion and if so how? arrangement ya dunia, jua , mwezi ikoje in pictorial three dimension
Jua haliko stationary linamove lenyewe na sayari zake zote muda wote na pia linajizungusha lenyewe katika kuhimili wake

Arrangement inabaki kuwa iko vile vile iliyozoeleka katika muda wote ambao Jua huzunguka center ya galaxy iliyokuwepo na sayari zake zote
 
Kifaa kilichorecord hii clip, Inaonekana kipo kati ya Dunia na jua. Dunia inaonekana inaspin, ilakifaa kinachorecord, kimebaki kuwa stationary...
Kifaa kilikuwa kinafanya movement katika harakati zake za kila siku
 
kimebaki kuwa stationary
tuweke maelezo sawa hapa hiyo ISS, haipo stationary, ina move kufuata earth's rotation kwa speed ya 28,000 kph dhidi ya earth's rotation yenyewe ambayo ni 1,674 kph kwenye ikweta

kwakua 28,000 kph > 1,674 kph , ISS inaizunguka dunia kila baada ya dk. 90 ndiyo maana inapata mawio na machweo mara 16 (24*60/90 au 2800/1674) ndani ya masaa 24 REF
 
Niulize swali, hivi jua liko stationary au is moving/is in motion and if so how? arrangement ya dunia, jua , mwezi ikoje in pictorial three dimension
Hiyo video na mimi omenishangaza

Yaani inaonyesha dunia ipo kwenye movement halafu jua nalo lipo kwenye movement,
Wakati tunajua lipo halisogei

Sisi tuliopo duniani tunaona jua linasogea kwa kuwa dunia ndio inasogea
Ni kama unavyopanda kwenye gari unaona miti na nyumba zinasogea ila gari haisogei
 
Niulize swali, hivi jua liko stationary au is moving/is in motion and if so how? arrangement ya dunia, jua , mwezi ikoje in pictorial three dimension
vyote viko katika motion, dunia inazunguka jua pia jua na sayari zote zinazunguka center of milkway galaxy. Kuna clip za animation zitafute you tube
 
Wanaanga waliokuwepo katika kituo cha kimataifa cha anga za mbali wanaweza kuona Mawio na Machweo kwa mara 16 kwa kila kipindi kwa masaa 24.

Kituo cha anga kinamaliza mzunguko 1 wa kuzunguka dunia yetu kwa dakika 90 ambapo kwa masaa 24 hutimia na kufikia mizunguko 16 hivyo huwafanya wanaanga wote kuweza kushuhudia vipindi hivyo kwa mara 16 kwa kila kimoja.

Kipande cha video hapo chini unaweza kuona Kitendo cha kuzama kwa Jua inavyoonekana huko anga za juu.

Gerald
moudyswema
geraldchristopher1@gmail.com

View attachment 2484378
Nilicho gundua kwenye hiyo clip ni kwamba! Chombo chao hao wanaanga kilikua kina move hakikua stationary kama jua lilivyo au sayari kufanya picha kuonekana tofauti na uhalisia
 
Hao sio wa kuwaamini sana kama ile ya kutia mwezini na apolo ni muvi ya kutengeneza watashindwa nn tena. Wakwende zao uko
 
Kama ni swala la jua kuzama mbona hata hapa tandale tunaona kila mzunguko wa masaa 24? ndo maana tunapata usiku na mchana.........au wenzangu mmeona nini kigeni hapo.
 
Niulize swali, hivi jua liko stationary au is moving/is in motion and if so how? arrangement ya dunia, jua , mwezi ikoje in pictorial three dimension
Yaani hapa Mwanza mi naelewa jua linahama hama, asbh linaamkia Musoma na baadae linaenda kulala Bukoba
 
Back
Top Bottom