Miaka 50 ya kituo cha anga za mbali cha Skylab

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Ni miaka 50 tangu Marekani waweze kurusha kituo chao cha kwanza huko anga za mbali (Skylab) kwa lengo kubwa la kufanya chunguzi ambapo kilikuwa na wanaanga kadhaa ndani yake

Naweza kusema kipindi cha vita baridi kilikuwa kipindi kizuri sana kwa upande wa tekinolojia kwa maana hakuna mtu aliyetaka kuwa nyuma kwa mataifa haya mawili Urusi na Marekani

Mara baada ya Urusi kurusha kituo chao cha kwanza cha anga za mbali kilichofahamiaka kama (Salyut 1) mwaka mmoja baadae Marekani naye aliweza kurusha chake ili kujibu mapigo kwa taifa la Urusi

Mara baada ya kufika anga za mbali kituo hicho kiliweza kufanya kazi kwa muda wa wiki 24 tu na baadae kurudishwa chini na kuweza kuandaa mission zengine za chombo hicho ambapo mpaka kufikia tamati ni watu tisa waliweza kuhudumu kwenye vyombo vya mission vya aina hiyo

14 May 1973 Siku ambayo kituo cha Skylab kilirushwa anga za mbali

Moudyswema
Astronomylughayakiswahili

FB_IMG_1683961901900.jpg
 
Back
Top Bottom