Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,132
- 10,514
Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani.
Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5
Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania HASHEEM THABIT mwenye urefu wa futi 7.36 tu
Korodani zake Zote zinaweza kufikia uzito wa kilogram 140 ambapo kila korodani ya nyangumi Dume Aliekomaa inaweza kufikia uzito wa kilogram 70.