Fahamu kuongea kiingereza kwa miezi mitatu

Fahamu kuongea kiingereza kwa miezi mitatu

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
773
Reaction score
668
Taifa Academy Center (T.A.C), inatoa kozi ya kiingereza cha kuongea na kuandika kwa mbinu za kisasa,makini na asili.

Vilevile tunatoa huduma ya ‘tution’ KWA MASOMO YA, HISTORY, KISWAHILI, ENGLISH, CIVICS, GEOGRAPHY na BIOLOGY Kwa wanafunzi KIDATO CHA I-VI -WANAORUDIA MITIHANI -WALIOKO SHULENI na –QT.

Tupo Kinondoni Manyanya mkabala na mahakama.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA AU TUMA UJUMBE WhatsApp 0754 895 321
 
Ha ha ha, kumekucha. Kwan hizo formula zenu na za yule rasta mla nyama vipi zinaendana...!
Hii bongo kwa course, yan imebaki course ya kupiga kiwi kwa computer tu...
Ungeweka na contact details
 
Kwa Ras Simba usipoelewa kidhungu unarejeshewa hela zako, kwenu je?
 
Kwa Ras Simba usipoelewa kidhungu unarejeshewa hela zako, kwenu je?
Wakurudishieeee?? Kwanza cdhan hata huyo ras simba anarudisha.. Kwa mfano labda alikua na class la mtu 5 alaf vilaza ni mtu 3, yan ateseka alaf ale hela ya mtu 2 tuuu..
 
Back
Top Bottom