Kuna binti mrembo nilimtongoza, akanambia ananipenda pia ila ananiogopa kwa sababu mimi"ni mende" hee mimi mende kivipi tena[emoji23]
Sasa nikashindwa kumuelewa, ila kwa uzi huu sasa nimeelewa ,kumbe mimi ni msafi sana na naweza ishi bila kula wala kunywa kwa siku tatu[emoji23]