Fahamu kuhusu kuku aina ya SASSO

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
SASSO, ni aina ya Kuku na vile vile ni Brand name ya kampuni kubwa kabisa ya kuku wa SASSO iiyopo Ufaransa na SASSO walianzia huko Ufaransa mwakma 1978

SASSO ni free range chicken yaani ni kuku wanao takiwa kufugwa huria au kwenye eneo kubwa kwani wana uwezo mkubwa wa kujitafutia chakula chao wenyewe.

SASSO ni aina ya kuku wa kienyeji ambao wana radha ya kipekee kabisa kuliko aina yoyote ile ya kuku na ni hard breeds ambao wana weza ishi katika mazingira ya aina yoyote yale na wanawez hata shindia majani.

Na SASSO vile vile wana itwa coloured brees kwa sababu wana rangi nyingi sana na kuku mmoja akitaga mayai yakitotolewa ni lazima vitoke vifaranga vyenye rangi nyingi yaani kila kifarnga kina kuwa na rangi yake

Hawa Ndo SASSO na ni pure kienyeji na si cross brees,

Watakuwepo available muda si mrefu, Vifaranga na fertilized eggs

M-+AFRC+layers
 
Shukrani mkuu kwa taarifa na ELIMU

swali watapatikana lini?..............na kwa bei gani? nilikuwa naulizia na Kenbro mkuu

shukrani
 
Mkuu, maswali ya msingi kabisa kutoka kwa Mawere na Singo. Ongeza na hili: Utaratibu wa oda utakuwaje? Sisi wateja watarajiwa wa Mikoani (niko Meatu, Simiyu) tutapata vipi huduma?

Kama hutajali, ukizingatia kuwa ni Mdau Kiongozi wa Jukwaa hili, kwa haya achana na pm weka mambo hadharani.

Asante!
 
Mkuu, maswali ya msingi kabisa kutoka kwa Mawere na Singo. Ongeza na hili: Utaratibu wa oda utakuwaje? Sisi wateja watarajiwa wa Mikoani (niko Meatu, Simiyu) tutapata vipi huduma?
Kama hutajali, ukizingatia kuwa ni Mdau Kiongozi wa Jukwaa hili, kwa haya achana na pm weka mambo hadharani. Asante!

Mkuu siwezi ongelea ishu za bei kwa sasa, Ila plan nikwamba kwa walioko mikoa ya mbali kama Mtwara mbeya, Iringa, Mwanza na kazalika na weza kuwapa Mayai wa kaangua wenyewe, uafirsha vifaranga kutoka Arusha hadi Mbeya au mwanza ni mateso sana kwa vifaranga, na siku hizi presiosioair hawanaile ndege yao ya kuweza kusafirisha viumbe hai kama kuku, mbwa na kazalika, zilizo bakia zinabeba binadamu tu an kwenye but zao huwezi pakia viumbe hai.
 
Mkuu samahani nikiwa Dodoma kwenye duka la Dk Mapusa nika ambiwa kuwa SASSO ni wanyama
Sasa unaposema kuwa ni kienyeji umeniacha mnoo.
 
Mkuu samahani nikiwa Dodoma kwenye duka la Dk Mapusa nika ambiwa kuwa SASSO ni wanyama
Sasa unaposema kuwa ni kienyeji umeniacha mnoo.

Kwa lugha rahisi, sasso ni broiler wa kienyeji. Ni kuku ambao wanafugwa kienyeji ili kutumika katika nyama zaidi. Kuku hawa hufikia mpaka kilo nne ndani ya siku 80.

Kwa wale waliopo dar es salaam, karibuni kwenye semina itakayokutanisha wafugaji kujadili juu ya changamoto za ufugaji pamoja na kuzindua aina hii ya kuku. Kwa mawasiliano tuwasiline kupitia 0755815174
 
jamani habari zenu!hivi eka moja kwa ufugaji huria kitaalamu inachukua kuku wangapi?maana nataka niexpand mradi wangu wa kuku
 
ninao 200 kwa ajili ya kuwauza dec nawafuga kwa ajili ya kuliwa nyama
 
Mkuu hapa Dar wanapatikana wapi..?
Na je naweza kumnunulia bibi yangu wa pale Kerege ili afuge kama vile wanavyofugwa wa kienyeji halisi..?
 
Mkuu hapa Dar wanapatikana wapi..?
Na je naweza kumnunulia bibi yangu wa pale Kerege ili afuge kama vile wanavyofugwa wa kienyeji halisi..?
Inawezekana kabisa kufugwa hata kijijini. Watafute umpelekee bibi
 
Back
Top Bottom