Fahamu kampuni bora, na kubwa sana duniani

Fahamu kampuni bora, na kubwa sana duniani

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1405858173.720350.jpg Katika jarida la world economy lime yataja makampuni 9 bora na maarufu sana ya magari duniani ,kampuni hizo pichani zime elezwa ndio kampuni bora zaidi duniani na zimeshauza mamilion ya magari yenye ubora wa hali ya juu hapa duniani, kampuni ya magari ya japani imepigwa kumbo ingawa magari yake maarufu sana afrika hasa hapa nchini tanzania ,maana uwezi kutembea hatua 2 bila kuona gari ya kampuni iyo ya kijapani
 
Si ungesema kwenye heading ni magari,nimefunguaje kwa spidi
 
Hivi wewe hujuhi kuwa sisi masikini...


View attachment 172206 Katika jarida la world economy lime yataja makampuni 9 bora na maarufu sana ya magari duniani ,kampuni hizo pichani zime elezwa ndio kampuni bora zaidi duniani na zimeshauza mamilion ya magari yenye ubora wa hali ya juu hapa duniani, kampuni ya magari ya japani imepigwa kumbo ingawa magari yake maarufu sana afrika hasa hapa nchini tanzania ,maana uwezi kutembea hatua 2 bila kuona gari ya kampuni iyo ya kijapani
 
Back
Top Bottom