Fahamu kama ushawekwa alama za kichawi ,jua umekwisha

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,825
MUHURI WA KICHAWI

Kwanza tuutambue muhuri wa kichawi ni nini na una faida ama athari zipi.

Muhuli wa kichawi ni nembo/alama inayotumika katika kutia alama watu walioshikwa kichawi ama kupewa kinga kichawi.
Muhuri huu uwasaidia wachawi kukufuatilia ama kutambua wakati wowote unapokuwa katika miangaiko au katika maswala ya kitiba unapowaza au kwenda kutafuta kujinasua na kujitoa katika vifungo vya kichawi huwasaidia kukuona na kutambua matakwa ama itaji unalotaka kutimiza na kupelekea kwenda kuharibu na kuvunja kabisa mipango yako iwe ya kitiba ama kimaendeleo katika maisha.

Huwa ni kama gprs ama cctv camera ama mifumo yakiteknolojia ya mtandao ama google map.Wachawi wanaweza kukufatilia na kunasa chochote unachokifanya ama kutaka kukifanya kwa wakati hule hule ulio timilifu mfano katika maswala ya maendeleo unaweza pesa ya haraka ukataka kufanya jambo la kimaendeleo kwa haraka ila ghafla ukakuta linatokea tatizo na ukajikuta unakuja kutatua tatizo badala ya kufanya lile jambo la kimaendeleo na mwisho wa siku malengo yanakuwa yamevurugika na ukitafuta chanzo cha tatizo unaona kwamba limekuja katika njia azieleweki eleweki ilimradi kufelisha mambo yako.Ama ukawa umeenda kwa mtaalamu mkawasiliana na mkafika makubaliano ya tiba ila ghafla ukapata kiwewe na ukajikuta unakosa kumuamini au unafemea padogo ili kufanya ile tiba yako na ikashindikana kwa siku hiyo na baada ya hapo mambo yakaja kuvurugika kabisa na ukashindwa kufanya ile tiba ama ukakutana na mtaalamu mwengine ambae sio mkweli na ukajikuta pesa yako inapotelea uko bila kupata tiba iliyo sahihi.

Mara nyingi huwa wanakuendesha na kukukontroo maisha yako kwa kutumia huu muhuli wa kichawi waliokubandika katika mwili wanaweza kukupa kiwewe cha kukutoa kwenye jambo ama tiba sahihi na kukupeleka mahala pasipo sahihi sababu lengo la mchawi ni kukupoteza na kukuharibia kila kitu kilicho bora na muhimu katika maisha yako na kukubebesha matatizo na mabalaa ili kukupoteza na kukufanya uwe mwenye kuteseka maisha yako yote
1702558256368.jpg
 
MUHURI WA KICHAWI

Kwanza tuutambue muhuri wa kichawi ni nini na una faida ama athari zipi.

Muhuli wa kichawi ni nembo/alama inayotumika katika kutia alama watu walioshikwa kichawi ama kupewa kinga kichawi.
Muhuri huu uwasaidia wachawi kukufuatilia ama kutambua wakati wowote unapokuwa katika miangaiko au katika maswala ya kitiba unapowaza au kwenda kutafuta kujinasua na kujitoa katika vifungo vya kichawi huwasaidia kukuona na kutambua matakwa ama itaji unalotaka kutimiza na kupelekea kwenda kuharibu na kuvunja kabisa mipango yako iwe ya kitiba ama kimaendeleo katika maisha.

Huwa ni kama gprs ama cctv camera ama mifumo yakiteknolojia ya mtandao ama google map.Wachawi wanaweza kukufatilia na kunasa chochote unachokifanya ama kutaka kukifanya kwa wakati hule hule ulio timilifu mfano katika maswala ya maendeleo unaweza pesa ya haraka ukataka kufanya jambo la kimaendeleo kwa haraka ila ghafla ukakuta linatokea tatizo na ukajikuta unakuja kutatua tatizo badala ya kufanya lile jambo la kimaendeleo na mwisho wa siku malengo yanakuwa yamevurugika na ukitafuta chanzo cha tatizo unaona kwamba limekuja katika njia azieleweki eleweki ilimradi kufelisha mambo yako.Ama ukawa umeenda kwa mtaalamu mkawasiliana na mkafika makubaliano ya tiba ila ghafla ukapata kiwewe na ukajikuta unakosa kumuamini au unafemea padogo ili kufanya ile tiba yako na ikashindikana kwa siku hiyo na baada ya hapo mambo yakaja kuvurugika kabisa na ukashindwa kufanya ile tiba ama ukakutana na mtaalamu mwengine ambae sio mkweli na ukajikuta pesa yako inapotelea uko bila kupata tiba iliyo sahihi.

Mara nyingi huwa wanakuendesha na kukukontroo maisha yako kwa kutumia huu muhuli wa kichawi waliokubandika katika mwili wanaweza kukupa kiwewe cha kukutoa kwenye jambo ama tiba sahihi na kukupeleka mahala pasipo sahihi sababu lengo la mchawi ni kukupoteza na kukuharibia kila kitu kilicho bora na muhimu katika maisha yako na kukubebesha matatizo na mabalaa ili kukupoteza na kukufanya uwe mwenye kuteseka maisha yako yoteView attachment 2842464
Sasa njia ya kujitoa na namna ya kujua kama una mhuli wa kichawi unafanyaje mkuu
 
Wote walioniwekea hiyo mihuri nimewazika bado wachache I will kill them first before they kill me in God's name inshallah.
 
Njia moja rahisi na effective sana ya kujinasua kwenye mihuri ya kichawi ni kubatilisha maagano yote ya kipepo au kimizimu uliyofanya wewe au kufanyiwa na mtu mwingine kwa kujua au bila kujua. Futa kwa Jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu.

Kwanza tubu maovu yote uliyofanya kwa kujua au bila kujua. Jitakase kwa Damu ya Yesu. Hakikisha upo vizuri na Bwana Mkubwa Yesu Kristo!

Kama unajiamini kiroho, sasa pigana vita ya kiroho na nguvu za giza, wachawi na roho za uovu. Usiwe na uzembe wala huruma kwa roho za uovu, zirarue vibaya na kuziangamiza kwa moto wa Yesu Kristo! Fanya hayo kwa Jina la Yesu na ukiwa ndani ya Yesu.

Fanya hayo yote kwa uendelevu usifanye mara moja na kuacha. Utaona ushindi.
MUHURI WA KICHAWI

Kwanza tuutambue muhuri wa kichawi ni nini na una faida ama athari zipi.

Muhuli wa kichawi ni nembo/alama inayotumika katika kutia alama watu walioshikwa kichawi ama kupewa kinga kichawi.
Muhuri huu uwasaidia wachawi kukufuatilia ama kutambua wakati wowote unapokuwa katika miangaiko au katika maswala ya kitiba unapowaza au kwenda kutafuta kujinasua na kujitoa katika vifungo vya kichawi huwasaidia kukuona na kutambua matakwa ama itaji unalotaka kutimiza na kupelekea kwenda kuharibu na kuvunja kabisa mipango yako iwe ya kitiba ama kimaendeleo katika maisha.

Huwa ni kama gprs ama cctv camera ama mifumo yakiteknolojia ya mtandao ama google map.Wachawi wanaweza kukufatilia na kunasa chochote unachokifanya ama kutaka kukifanya kwa wakati hule hule ulio timilifu mfano katika maswala ya maendeleo unaweza pesa ya haraka ukataka kufanya jambo la kimaendeleo kwa haraka ila ghafla ukakuta linatokea tatizo na ukajikuta unakuja kutatua tatizo badala ya kufanya lile jambo la kimaendeleo na mwisho wa siku malengo yanakuwa yamevurugika na ukitafuta chanzo cha tatizo unaona kwamba limekuja katika njia azieleweki eleweki ilimradi kufelisha mambo yako.Ama ukawa umeenda kwa mtaalamu mkawasiliana na mkafika makubaliano ya tiba ila ghafla ukapata kiwewe na ukajikuta unakosa kumuamini au unafemea padogo ili kufanya ile tiba yako na ikashindikana kwa siku hiyo na baada ya hapo mambo yakaja kuvurugika kabisa na ukashindwa kufanya ile tiba ama ukakutana na mtaalamu mwengine ambae sio mkweli na ukajikuta pesa yako inapotelea uko bila kupata tiba iliyo sahihi.

Mara nyingi huwa wanakuendesha na kukukontroo maisha yako kwa kutumia huu muhuli wa kichawi waliokubandika katika mwili wanaweza kukupa kiwewe cha kukutoa kwenye jambo ama tiba sahihi na kukupeleka mahala pasipo sahihi sababu lengo la mchawi ni kukupoteza na kukuharibia kila kitu kilicho bora na muhimu katika maisha yako na kukubebesha matatizo na mabalaa ili kukupoteza na kukufanya uwe mwenye kuteseka maisha yako yoteView attachment 2842464

Hawachelewi kukuita tapeli

Sasa njia ya kujitoa na namna ya kujua kama una mhuli wa kichawi unafanyaje mkuu

Nakuelewa sana siwezi kubisha nipo hapa kujua njia za kujinasua.

GPRS system is real kwenye black magic

Mbona hujaweka hiyo alama ya muhuri ni jinsi ya kuufuta?
 
Mihuri ya kichawi maana yake ni location za kichawi ili usipotee kwenye rada zao.

Ukifungua jicho la 3 kwa ukamilifu, wewe ndio unakuwa unawacontral kama TV kwa remote ukitumia mihuri/GPRS hiyohiyo waliyokubandika.
 
Vizur sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom