Fahamu jinsi ya kupata unit feki za umeme (token) bila malipo

Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,098
2,000
Ndugu mtanzania mwenzangu, najua unapenda sana vitu vya dezo, ila katika utawala huu itakubidi tu ulipie umeme kadri unavyoutumia. Watanzania tufanye khaazi (in John's voice)
 
wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,790
2,000
Ndugu mtanzania mwenzangu, najua unapenda sana vitu vya dezo, ila katika utawala huu itakubidi tu ulipie umeme kadri unavyoutumia. Watanzania tufanye khaazi (in John's voice)
Wewe ni kiazi kweli Kama baba j.
 
Top Bottom