Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,591
- 1,391
NAONA KAMA VILE HII MAP ITA NIPITA KWAN NANGOJEA V 1.37 ITOKE ILI TWENDE PAMOJAHaya sasa mzgo mpya huo map canada,,typ za hundolandia kwa mbaaali japo haifikii ila nayo tamu tu
Nimepakua jana,nikatest route Kama mbili, ebwana kuna milima bila namba 1 hupandi kwa kutumia stock engene,,sasa nataka nimod truck yangu ndio nianze kuchanja mbuga mana nilkua natest tu bila mod yyte
Sent using Jamii Forums mobile app