Kwa uelewa wangu, unapocheza game kwenye pc huwa inahitaji nguvu nyingi kutoka kwenye supply na hvyo betri kuishiwa chaji chini ya uwezo wake, ukitumia kwa mara nyingi chini ya hapo na unasababisha betri kupungua uwezo wa kutunza chaji na hivyo kuharibika.EURO TRUCK imeniharibia betri yangu ya pc..
nimeuwa betri kama 4 ila sasa tatizo niko addicted na gamesKwa uelewa wangu, unapocheza game kwenye pc huwa inahitaji nguvu nyingi kutoka kwenye supply na hvyo betri kuishiwa chaji chini ya uwezo wake, ukitumia kwa mara nyingi chini ya hapo na unasababisha betri kupungua uwezo wa kutunza chaji na hivyo kuharibika.
Mm hutumia pc ktk game ikiwa changed! Umeme ukikata tu game huwa inatabia ya ku-shake au kustuck kwa hayo hunipelekea ku log off pc.
Your not alone!nimeuwa betri kama 4 ila sasa tatizo niko addicted na games
Mm nikitaka kucheza game natoa betri au nacheza ipo connected na umeme. Ni vizuri hizo betri ungekuwa unazitumia unapotaka kucheza game.nimeuwa betri kama 4 ila sasa tatizo niko addicted na games
pole sana hapo ina taka key za game njoO PM ila ujiiandae na mzinga wa vocha kama buku mbili hivi nikutumie key au game lote full versionMimi hili gemu nikilicheza nikifika level ya tatu huwa naambiwa niactivate game why??? naomba mnisaidie katika hili wapenzi wa gemu jili
Hapo ni either una graphics ndogo au ulizonazo zmekua outdated. .pia angalia graphic setting uskute zipo kweny high wakat ghapic zako ni ndogo.utatakiwa kujarbu medium au low kabisaeuro truck kwangu huendeshi kwa raha ina stuck ukiwa una endesha sijui tatizo ni pc au
Pakua cracked version hii apa Download Euro Truck Simulator 2 (v1.30.1.6s + 56 DLCs, MULTi43) [FitGirl Repack] Torrent | 1337xMimi hili gemu nikilicheza nikifika level ya tatu huwa naambiwa niactivate game why??? naomba mnisaidie katika hili wapenzi wa gemu jili
Asante mkuu, ngoja ni update.Update mkuu hadi 1.30
Nnaweza ku download pc apps kwa kutumia simu?Pakua cracked version hii apa Download Euro Truck Simulator 2 (v1.30.1.6s + 56 DLCs, MULTi43) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Hakikisha una uttorent kuweza ku download