Fahamu degere wanavyoweza kukutoa haraka kimaisha

Wazee samahani kwa kuchelewa kujibu nakuwa busy wakati mwingine shauri ya majukumu ya ofsini.

Kwanza biashara ya samaki/degere haina msimu. Kwa sababu ni chakula basi January to December inawezekana kufanya. Kuna wakati upatikanaji wa samaki unakuwa mgumu hivyo bei ya kununua hupanda na bei ya kuuza pia hupanda kwa hiyo faida hubakia palepale na hata kuongozeka kuliko kipindi cha upatikanaji mkubwa wa samaki.

Gharama ya maisha kwa Mwanza ni ndogo sana kuliko sehemu nyingine Tanzania, Bado wali maharage ni 1000 na wali nyama/samaki 1500-2000.

Kila jema.
 
Ndugu yangu, Mimi ni mfanya biashara wa vipodozi, vipi huko naweza kwenda nakupata soko?
Mfano sabuni zakuogea,mafuta ya nywele na mafuta ya kupaka
Vipi mzunguko wa watu huko
 
Bro ebu sema ukwel degere ni sangara watoto na hairuusiwi kivua au kuuza degere
Polisi au mali asili (BMU)wakikushika na degere ni kesi tena kubwa mkuu
Degere nivisangara vidogo na ving huliwa na watu wenye uwezo mdogo na mda mwingne degere hutumika sana misiban sabu ni bei nafuu tofauti na sangara mkubwa bei yakw iko juu

Siwez kukubishia ila kanda ya ziwa na sisi tunakaa na tumewai kukaa derege ni sawa na bange
 
IMG_4526.png

Soma kwanza uzi mzee wangu ukishaelewa ndo uandike. Degere inatumiwa na zaidi 90% . Kesi ya degere ni mzigo tu kuchukuliwa kama usipoongea vema na maliasili. Sina cha zaidi mkuu.
 
Ndugu yangu, Mimi ni mfanya biashara wa vipodozi, vipi huko naweza kwenda nakupata soko?
Mfano sabuni zakuogea,mafuta ya nywele na mafuta ya kupaka
Vipi mzunguko wa watu huko

Hilo sikulifanyia uchunguzi rafiki kwa hiyo siwezi kusema lolote. Kama unaweza ni vema ukafika visiwa vikubwa kama Ghana na Goziba kule watu ni wengi na mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Fika fanya research ndo uamue. Kila jema
 
Kuna kitu sijakuelewa mkuu,sasa hao samaki huchukua siku ngapi kukauka huko kisiwani kabla ya kuwaleta mjin
Kama ni zaidi ya siku hayo mabondo hayaharibiki kabla hujafika mjini,je hayo mabondo unauzia mjini au kisiwani
 
Asanteeee nakuja pm kufata mawasiliano yako
 
Kuna kitu sijakuelewa mkuu,sasa hao samaki huchukua siku ngapi kukauka huko kisiwani kabla ya kuwaleta mjin
Kama ni zaidi ya siku hayo mabondo hayaharibiki kabla hujafika mjini,je hayo mabondo unauzia mjini au kisiwani
Nakujibu kwa nilivyoelewa Mimi

Ukishanunua samaki unawahifadhi kwenye marafu kali, then unakuja nao mjini, mabondo unauzia mjini
 
Back
Top Bottom