Fahamu aina tatu ya tabia za binadamu na sifa zao

SALUTE
Kwa mara ya kwanza nili introduce kitu hiki kwenye uzi wangu unaitwa "The Joker Film:Jinsi maneno yanayo udhi yanavyoweza kumfanya mtu awe mbaya". Kwenye uzi huu sikwenda ndani zaidi niliandika juu juu tuu ili kuleta maana katika kitu nilichokua naelezea.

Basi leo kwa ridhaa yenu naomba niandike mada hii kwa kina zaidi ili kila mtu ajitambue/atambue tabia za
watu wanaomzunguka na jinsi ya kuendaana nazo (to Cope with)

Chukulia mfano kua mtoto mdogo ni HardDisk uliyoinunua dukani mpya ila ina nyimbo au files zozote zinazokuthibitishia kua HardDisk hii ni nzima so ukifika nayo nyumbani cha kwanza utafuta yale mafaili yote amabayo imekuja nayo uli uanze kuitumia upya.

Hivyo basi kwa upande wa Theology inasema kua mtoto (HardDisk) anapozaliwa tu hua anakuja duniani akiwa msafi kimwili,kiakili na kiroho. ila rohoni mwake kunakua na taarifa kuwa Karithi Dhambi ya asili tuliyorithi binadamu wote kutoka kwa binadamu wa kwanza, kwahiyo kama mtoto huyo kazaliwa kwenye familia ambayo ni ya imani ya kikatoliki, haraka sana watampeleka mtoto huyo abatizwe na kua mpya kabisa kiroho (Formating HardDisk). Lakini utafuta yale yaliyomo ndani ya HardDisk lakini hutaweza futa taarifa za Disk hiyo kua manufacture ni nani, speed yake ni ipi, saizi yake ni ipi, imetengenezwa wapi, ipo katika mfumo wa SSD nk nk..

Kwa mantiki hiyo kwa upande wa Psychology hapa ni tofauti kidogo, Psychology inaamini binadamu anapozaliwa anakuja akiwa mweupe ila anakuja na kitu kinachoitwa Personalities.

Hizi sasa ndio taarifa ambazk hata mtu ukimbatiza hua haziondoki anabaki nazo. kwakua scientist wengi hawaamini katika uumbaji wa Mungu ndio maana wanasema mtoto anakuja na Personalities tu!.

Personalities ni nini?
Kwanza kabisa hakuna definition maalumu ya personality hivyo basi ma Guru wa saikolojia kila mmoja anaielezea kadri alivyoilewa, ila mwanasaikolojia mmoja aitwae Raymond cattel anasema kuwa Personalities ni sifa fulani ambazo zinaweza kubashiri au kumuelezea mtu fulani yukoje.

Personalities za binadamu imegawanyika katika sehemu kuu ambazo ni Behaviour,(Tabia) Cognition (Utambuzi),Emotions (Hisia), tutaangalia zaidi Behaviour, tuone tabia mbalimbali za wanadamu (mimi na wewe).

NOTE: Wakati naelezea sifa za kila tabia tafadhali usichanganye na Introvertism na Extrovertism traits.

Wanasaikolojia wanasema kuwa Tabia za binaadamu zinasababishwa na Endocrine system
(Mfumo wa tezi) na Nervous System (Mfumo wa Fahamu/Neva). Lakini inasemekana kua mfumo wa Neva ndio husababisha zaidi tabia za mtu, wanasema kwamba Utathabiti au mwenye imfumo imara/thabiti wa neva basi anakua na uwezo mkubwa wa kuweza kujifunza hivyo anaweza kudhibiti tabia zake, labda kutoka tabia moja kwenda nyingine.

Tabia za binadamu zimewekwa katika mafungu matatu makuu wao wataalamu wanaita Behavioral Models ambazo Passivenes,Asertivenes na Agressiveness.

Passiveness Behaviour.
Mtu wa kundi hili anakuwa mkimya na haongei wala kuchukua hatua yoyote kama kakasirika au mtu kamtendea jambo baya au akichanganyikiwa. Wanasaikolojia wanashauri kuwa hii sio tabia nzuri binadamu kuwa nayo maana inamfanya mtu anaweza kukuongoza, kukutumia au kukunyanyasa.

Japo Wanasema muda mwingine inasaidia.
hapa wanatoka kundi la wale wanyonge rais wetu anaowasema kama Nikola Tesla, Sirdhata Gautama (Budha) Dalai lama, Mark Zuckernburg, Wentworth Miller,
Clint Eastwood (Blondie wa The bad and the Ugly),na wengine wengi.

Siafa za mtu mwenye tabia hii.

●Hubaki kimya mtu akimchukiza
●Huishi kutokana na watu wanavyataka aishi na huacha watu wengine ndio wamfanyie maamuzi
●Hapiganii haki zake, akidhulumiwa hua hadai nabaki kimya
● huomba msamaha sana
●Kama anashida ya kimaisha hua hasemi anabaki nalo moyoni
●mara nyingi huongea taratibu (sauti ndogo)
●Hapendi kutokukubaliana na mtu, hata kama jambo hajapenda yuko tayari akubali tu ili kumridhisha mtu
● Hupenda kucheka na kuficha sura yao kwa viganja.

Assertiveness Behaviour
Katika aina hii ya tabia mtu anakua yupo tayari kufanya lolote ili apate haki au kutendewa kwa usawa, Mtu anakua tayari kutoa mawazo yake, hisia zake au matamanio yake bila ya kudharau mawazo, mahitaji,hisia na matamanio ya wengine.

Kundi hili wanatoka watu wengi maarufu hasa wapigania uhuru na haki za wanadamu.. huku Bwana Jesus akiwaongozea jahazi lao, nyerere akiwa pembeni, Martin Luther king, Malcom X, Bob marley, Patrice Lumumba, Kwame
Nkhuruma, Mahatma Gandhi, Che Guevara, Fidel Castrol nk

Sifa za mtu mwenye tabia hii
● Anakuwa huru kuwasilisha mawazo na hisia zake juu ya kitu fulani
● Hutambua haki zake
● Huwa wanajiamini sana
● Huwa wanaweza kukontro hasira zao, wanakontro hasira zao lakini hawezi acha kukwambia kama umemuudhi, atakwambiaa kwa kutumia hekima
●Huwa wanapenda kusaidia watu wengine wapate haki zao
●Hua wanaheshimu na kuthamini mawazo au hisia za wengine
● Hupenda kusuruhisha matatizo
●Hupenda kudai haki zao bila kutumia maneno ya kuudhi.

Agressive Behaviour
Kundi hili ni wale watumi nguvu kwenye kila kitu, Sio wema, na wanapenda kunyanyasa
wengine hasa kutoka kundi namba moja.

Watu wa kundi hili wanaweza kufanya matendo hayo kwa maneno ya kuudhi, vitendo vya kuudhi nk. Agressive behaviour inaweza kua Physically, mentally au Verbal (maongezi). hapa sasa ndio wanakuja wale wote wenye tabia za kidikteta, roho mbaya roho mbaya tu, hawana utu! Mtawataja wenyewe tumewajaza Duniani na nchini kwetu.

Sifa za watu wa kundi hili
● Huwasilisha hisia zao, mawazo yao au matamanio na mahitaji yao bila katika njia
ambayo inaweza kuwatisha wengine.
●Huwa wanasimama kwa haki zao tu hawajali wengine, kama yeye kala wewe usipokula shauri yako. she/he don't give a damn
●Hupenda kujiweka mbele ya wengine apate kwanza yeye wengine ndio mfuate
●Hupenda kupata mafanikio au kutimiza malengo yake kwa kuwatumia wengine bila
kuwajali.
●Wanapenda kutumia nguvu zaidi dhidi ya wenzio
●Huwa wanapenda wawe viongozi wa wenzao
● Hupenda kufoka tu hata kwa jambo dogo
●Hupenda kusema makosa ya wenzao kwa kuwanyooshea vidole
●Hupenda kupigana au kutishia kupiga/na
●Anapenda apate wewe usipate
●Hawapendi kukosolewa na wanapenda kujisifia/sifiwa.

Tabia zinaweza athiriwa na mazingira pia, kuna wakati mtu anabadirika kutokana mazingira yanamfanya awe hivo, ila ni rahisi Mtu wa kundi la tatu kurudi kundi la kwanza kuliko kundi la kwanza kuja la tatu.

Sababu kuu ni kwamba hizi tabia zinakua zinachagizwa/influenced with Extrovertism na Introvertism. mara nyingi kundi la kwanza na la pili ndio huwa kwenye
Introvertism huku kundi la tatu likiwa kwenye extrovatism.

Extrovert na Introvert wanasema hii ndio shemu ya kati katika Personalities ya wanadamu. So kimoyo moyo kila mtu atakua kajitambua yeye ni kundi lipi,kama utapenda kwenda kundi fulani omba mwongozo hapa uelekezwe, mie naomba niishie hapa.

Comment, Share and Like
The End..Yours
-Vinci
el maestro.
Back again,mada zako huwa nazipenda sana...
 
Najiona kundi la 1 ila nakosa baadhi ya sifa zake na pia najiona kundi la 2 napo nakosa baadhi ya sifa zake...
Sasa mimi nipo kundi gani maana huko kundi la 3 sijioni kuwepo huko kabisa
 
Dodo umeshusha vitu safi sana.
 
Daah nishakukatalia kuniita dogo ila wapii.. Haya bwana mkubwa!!
Hingera kwa kuelimika
Mkuu niwie radhi...kwa kukuita dogo, sintokuita tena hivyo....ingawa sikumbuki lini ulikataa nisikuite hivyo.

Nimejifunza kitu kwenye uzi huu,
Asante.
 
Haina shida lakini..
Wewe unadhani kuna mtoto anaweza andika mada hizi??
 
Mabadiliko ya technology ikiwemo mashuleni tunafundiahwa kupretend ikiwemo heshima kwa mabosi yanafanya iwe vigumu kutabiri kundi la mtu, hao ulotaja kundi 1, mara wameact Kama 2 , mara wameact Kama 3 na viceversa. Kikubwa kumuomba Allah atukinge na Shari za viumbe wake na atujaalie kheri za viumbe wake
Zaganza kwanza siyo kwamba mnafundishwa ku-pretend kwa kuwaheshimu maboss no, kuna kitu kinaitwa MANAGEMENT AND ADMINISTRATION .

hapa utajifunza mambo mengi sana ktk uongozi mojawapo huwa ni kuheshimu ma boss wako,pia haijazuia kuto challenge lakini kuna utaratibu wa kufanya hivyo.

Pia wataalumu mbali mbali wa masuala ya kisaikolojia wanashauri sana namna ya ku deal na maboss rejea 48 Principles kama syo 48 laws kama sijakosea pia utakuta mambo kama ya kuto mu underestimate your master pia ukiwasoma kina Sunt zu na Machiavelli utaona hicho kitu

Pili kuhusu hili la kuwaheshimu maboss wako,ni nature kwasababu hata bila ya wanasaikolijia heshima ilianza tu pale jamii fulani ilipostaarabika ndio maana baba na mama unamheshimu plus mtu yeyote mzima,

Thanks!
 
Nakumbuka pale queen of peace sec. hapo nzega!tukiwa tunasahisha mitihani ya fom 2!jamaa wakaomba tuseme changamoto!nikasimama tena kujiamini kabisa!kwanza malipo ya awali ya nauli na kazi angalau tununue hata dawa za meno!pili mbona tumefanya kazi siku tatu ndo mnatuapisha???BAADA YA HAPO KIZAA ZAA!NILIONDOLEWA MARKING MAPEMA NA HELA WAKANIPA!!HADI LEO SIHOJI CHOCHOTE NIMEANGUKIA KUNDI LA PILI!!!
 
Mimi ni Passive

Hakuna mateso makubwa kama kuwa kundi hili, Mara nyingi huwezi kusema hata ukitendewa ubaya hali inayokuacha na msongo wa mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom