Kwa mtazamo wangu kama una nyumba moja ukaenda kukopea benki hilo ni deni baya.lakini kama ni mtumishi nimekopa benki nikajenga nyumba nakatwa deni kwenye mshahara baada ya miaka sita likaisha hilo ni deni zuri kabisa.madeni mabaya ni haya kwenye bar au mikopo ya mtaa kwa riba.Tena benki zilipashwa kuhimiza watu kukopa mikopo ya nyumba za bei nafuu kuanzia Tsh 35ml hadi 50ml.