Yamemwangukia NgugaiMadeni ya Samia yanaangukia wapi
Ukidaiwa unapata akili ya kutafuta. Akili ya ku negotiate na wanaokudai, madeni nayakubali Sana katika kuchangamsha akiliMi ninayo yote mabaya na mazuri
Usipodaiwa we huna akili
Mpawa wana mikwara mizitoBinafsi nipo kwenye madeni mabaya baada ya kukopa m pawa wanataka kunitoa roho.
Japo atakuwa amejisaidia kuepukana na Bei kubwa kwa wakati ujao, lakini deni hilo litabaki kusimamia kwenye upande wa deni baya(Hii ni kwamjubi wa hoja hapo juu).Mkuu, hebu tuangalie mfano huu: mtu amekopa bank hela ya kutosha kijenga nyumba ya kuishi familia. Deni hili analilipa kwa fedha za mshahara wake kwa kipindi cha miaka sita, ambapo anamaliza kulipa deni na riba yake. Na tukumbuke materials zinapanda bei mara kwa mara, hivyo, vifaa ( materials) alizonunua leo, bei yake itakuwa tofauti na atakaponunua miaka sita ijayo, maana bei itapanda sana. Je, hili nalo ni deni baya (bad debt)?
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app