Fagia fagia ya Magufuli

Fagia fagia ya Magufuli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,154
Reaction score
831,823
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very loyal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana

Hahaha
 
hahaaaa mkuu i do respect your thought

kwakweli hili magufuli kawaaibisha wanaomuunga mkono

wanazani wanamkomoa chadema

wacha liende hahaaaaaaaa.................
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Mshana jr umenyonga kabisa.
 
Hahahahah hii ni awamu ya kuwapa madereva wanaojua kujitapa na kujionesha vyombo vya moto vinavyohitaji madereva bora na wazoefu....

Gari letu la Tanzania ya viwanda sijui kama litafika salama....
 
Chama ndo kinaendelea kushusha graph ya magufuli, watu walioanza kuwa na iman nae mwanzoni saiv washaanza kuona kumbe nae mule mule tu. Shida inaweza isiwe makonda shida ikawa watu ambao wako kwenye system miaka nenda rudi ndio hao hao wapo leo, halafu unaimba ngonjera za mabadiliko.
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo

kuna mtu anajiita liziban, kibaraka mzuri wa lumumba unge m cc

maana anawaswa sana ukiowa tofauti na lumumba
 
Its like installing new software in the old motherboard
Mecky Sadiki kaondoka Dar ni mtu wa Jakaya very royal to him..huyu alikuwa jipu kubwa wachina walitamba hapa Dar kwa sababu ya huyu mtu...walitolewa mahabusu kwa memo yake....ni faraja kubwa sana
Kituko cha karne!
Jiji limepewa dogo mjuaji, Paul Makonda! Hatumii akili bali maguvu!ama kweli kujipendekeza kunalipa....!
Yaliyomo yamo Jiji la UKAWA (let it be) mkoa wa Makonda(ccm....) sawa na kufunga engine ya bajaj kwenye kilimo kwanza au software ya Samsung kwenye motherboard ya lenovo
Kilimo kwanza iliyoundwa na engine yenye vifaa vya aina ya kubenea aka elimu za hapa na pale...!!

Unapukuwa na jiji lenye viongozi aina ya kubenea dawa yake ni Makonda tu!!

Ha ha ha
 
long time no see mzee vipi bundle lilisumbua kidogo au ni majukumu tuu?
 
Magufuli angetakiwa atafute watu makini sana wa kufanya nao kazi.
Asingekua mtu wa kukurupuka na ku controliwa na chama, tatizo kubwa la Magufuli hakuwahi kufikiri kuwa atakuwa president one day, kwa hiyo hata timu ya kazi hakuwa nayo zaidi ya kuwafahamu kina Charles Kitwanga na kina Katibu kiongozo wake yule mpya.
Hiki kinachomgharimu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom