Fafanuzi juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii.

trumpet

Member
Jan 25, 2017
18
13
Wakuu habari za majukumu!? Ni matumaini yangu wote mpo salama na kama kuna mwenye tatizo M/Mungu akufanyie wepesi katika pito lako.
Hapa ninayo mada ubaoni inayohusu kutafuta ufafanuzi wa kisheria ju ya mifuko ya hifadhi mfano ZSSF.
binafsi nimekuwa mwanachama wa mfuko huu wa Zanzibar social security fund kipindi ninafanya kazi huko zanziba, lakini hapa sielewi ni kwanini siwezi kuzipata pesa zangu mpaka nitakapo fikia umri wa kustaafu? Ama kufa ?!
Kwa sasa nipo Tanzania bara hukunatumikia NSSF. Msaada wakuu ni namna gani sheria inaweza kunisaidia kupata japo kidogo nilichovuna ZSSF.
 
fatilia
 
Back
Top Bottom