Uchaguzi 2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

Wewe una tofauti gani na mtu ambaye ni zero brain anayewaza baba yake afe ili apate urithi bila kuuliza zilipatikanaje na alikuwa anaziendeshaje kabla ya kuombea mabaya,ni kipi cha muhimu unachokikosa katika taifa hili mpaka uombe njaa na ukijua nawe haitakuacha salama kamwe nakushauri kitu kama umechoka na amani iliyopo nenda Libya au Kongo au ikiwezekana nenda ulaya.
Pumbaf kabisa! Yaani unamuibia mtu kisha akijitetea unamuuliza eti umechoka na amani?
Shensy kabsa! Mwaka huu ujinga mwisho
 
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.

Swali fikilishi+ Nani yuko nyuma yake+ wanalengo gani+ ili wapate nini+ ni kweli kwamba Lissu anapewa free luch au atalipa. Watu kama Lissu tuwaogope ni watiifu kwa mabepari na hawana lengo la kutupa uhuru wa kweli uliohubiriwa na baba wa taifa.
" Maamuzi yoyote ya ya kutokuwa yeye rais yatapeleka watu ICC". Lini alisema maneno hayo???.
 
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.

Swali fikilishi+ Nani yuko nyuma yake+ wanalengo gani+ ili wapate nini+ ni kweli kwamba Lissu anapewa free luch au atalipa. Watu kama Lissu tuwaogope ni watiifu kwa mabepari na hawana lengo la kutupa uhuru wa kweli uliohubiriwa na baba wa taifa.
@Mchimwachimego usiwe na shaka mkuu, huu ni uchaguzi mwepesi sana kwa CCM kuliko watu wa humu wanavyofikiri, CCM inakwenda kushinda kwa ushindi mzito sana utakawaodhalilisha NI YEYE, wale waliomtuma na wale anaosema wanafuatilia uchaguzi huu
 
Ni bahati mbaya kwamba unashindwa kutumia ubongo katika kufikiri kama Mungu alivyokujali, badala yake umeamua kutumia kamasi.

Eti ametumwa, ametumwa na nani? Eti amesema asipotangazwa yeye kuwa mshindi amesema hapatakalika.

Yaani kwasababu ya chuki zako binafsi basi unaamua kumzushia mtu uongo mpaka hata shetani anakushangaa.

Bahati nzuri watanzania ni watu wenye uelewa mkubwa na wamemsikia Lissu alichosema na kukielewa hivyo kujaribu kutunga uwongo wako na kuwalisha watanzania ukifikiri watakuamini wewe unajidanganya.

Hivi tangu muanze kueneza huu uwongo umeleta impact gani chanya upande wenu?

Maana mi naona ndio kwanza kila mahali aendako Lissu anazidi kukibalika.

Hebu acha kuwa mjinga kama Inzi kila siju kuchenzea kinyesi, hebu siku moja nawewe tengeneza asali kama nyuki.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Kamwe kibaraka hawezi kuaminika "yuda" ni kweli kuwa ameaminishwa hivyo.
 
Mataga haya mmeyataka wenyewe kwa kummiminia Lissu risasi 32 mchana kweupe.

Matokeo yake leo UVCCM siasa zimewashinda mmeanza kulia-lia kama mmebinywa balls kwa plaizi.
 
Kwani mwaka huu ndio Mara ya kwanza kufanya uchaguzi mbona wenzake hawakuwai kutoa mikwara ya namna hiyo na wala hawakuamasisha watu waingie barabarani, na hata huko marekani trump alipopita kuna mengi yalizungumzwa kuwa ameiba kura na hakuna mwananchi yeyote au mwanasiasa aliyeamasisha kuwa wavuruge nchi yao licha ya kwamba wapo wasiompenda.
Unamfahamu Mzee Jecha?
 
Itakuwa umeajiriwa hapo Lumumba kuja mitandaoni kufanya jambo usilolijua.

Kwahiyo ulitaka wakihujumu wachekewe tu? Halafu unasema kwa Trump watu hawakuenda barabarani?

Ama kweli nimeamini.
Ukiwa ccm akili inakuwa ndogo kama uduvi.
Wewe kwa kumbukumbu zako Clinton aliamasisha watu wampinge na waandamane barabarani kama huyu ndugu yako anavyoamasisha.
 
Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC.

Swali fikilishi+ Nani yuko nyuma yake+ wanalengo gani+ ili wapate nini+ ni kweli kwamba Lissu anapewa free luch au atalipa. Watu kama Lissu tuwaogope ni watiifu kwa mabepari na hawana lengo la kutupa uhuru wa kweli uliohubiriwa na baba wa taifa.
Kwa hiyo ww unataka utawala huu haramu kupitia wizi wa kura uendelee?

Tumewachoka hawa wakoloni weusi ccm wanaotawala kimabavu kwa kuteka, kuua, kubambikizia kesi raia wasio na hatia, dhuluma, nk.

Ndo maana mkombozi Lissu anapendwa
 
Kwani umeanza kufatilia siasa lini mkuu, mbona ni kauli za kawaida tu kwenye siasa hasa kipindi kama hiki cha kampeni, fatilia enzi za kina mrema,lipumba,mbowe, dr slaa, zitto ata ccm nao hutoa kauli za kishujaa kipindi kama hiki.
Mku Mungu akiwa upande wako ushujaa ni jambo dogo sana.
Hivi kwa umri aliona Lisu na ungwaji mkono anaoupata kwa Watanzania ataacha kujiamini hata kama ni ww na ukija upande wa pili jumuia za kimataifa zilishatunyooshea kidole siku nyingi hata kabla Lisu hajarudi kwani majibu kwa mtu wa kawaida anaelewa yy yuko juu kwa yy atayemuhujumu kwa njia yoyote ile.
Baraza la congress liliandika na kutoa angalizo pia juzi tena UN nayoimetoa ripoti juu nchi yetu na ukiangalia imetoka kipindi cha uchaguzi hii haileti picha nzuri kwani afadhali hii ingekuwa nzuri ambayo ingetubeba
 
Kuwa mjinga sio kibali cha kukuruhusu kuleta mada JF za upotoshaji.

Wapi Lissu amesema asipochaguliwa kwa kura patachimbika?

Wapuuzi wakiachiwa kuandika kinachojaa kwenye akili zao watapotosha wengi na hatutakubali hali hiyo.

Tundu Lissu amesisitiza kuwa safari hii hawatakubali kuibiwa kura zao na sisi wananchi tunakubaliana naye.

Kasisitiza kuwa mshindi awe yeyote mradi iwe kwa idadi ya kura sio maamuzi ya wezi na matapeli maana nchi sio mali ya koo zao na familia.

Jee wewe na ccm mmepanga kushinda kwa wizi? Nami nakubaki kuwa safari hii #SASABASI hakuna kuibiana au goli LA mkono kisha kuchekeana chekeana.

Na mataifa ya nje hao hao wahisani au wakitukosoa tunawaita mabeberu wameshatoa matamko kuwa hawawezi kukubali nchi wanayoisaidia kukosa demokrasia.

Hivi acha upotoshaji
Ije mvua, lije jua, CCM LAZIMA ishinde na hilo mnalijua. Zilizobaki kwa Lissu na Chadema ni mbwembwe za wakati tu!
 
Kwani mwaka huu ndio Mara ya kwanza kufanya uchaguzi mbona wenzake hawakuwai kutoa mikwara ya namna hiyo na wala hawakuamasisha watu waingie barabarani, na hata huko marekani trump alipopita kuna mengi yalizungumzwa kuwa ameiba kura na hakuna mwananchi yeyote au mwanasiasa aliyeamasisha kuwa wavuruge nchi yao licha ya kwamba wapo wasiompenda.
Kwahiyo kama wagombea wengine walikaa kimya hata pale haki yao ilipochezewa, unataka na Lissu nae afanye hivyo hivyo?

Kama mnaamini watanzania wanawakubali kwa makubwa mliyoyafanya kama mnavyojinasibu kwanini mnaogopa kuendesha uchaguzi wa huru na haki ili mchaguliwe na kutangazwa kwa haki?

Hii inaonyesha hamjawahi kushinda kwa haki, ndio maana sasa uchaguzi huu mmekutana na mtu ambaye ameweka bayana kuwa mkifanya rafu yoyote hatakaa kimya sasa mnaanza kuweweseka.

Ni sawa na mwanafunzi aliyezoea kupewa majibu ya mtihani, sasa inapotokea amedhibitiwa ananza kuchanganyikiwa maana hajazoea kutumia akili yake.

Wewe kichwa ngumu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom