Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Ubwabwa kwa wingi
Ivi kuna nyama hapo kweli??
Kwa heshima ya boma mwanaume hali chakula bila nyama , yani hata chai asubuhi na nyama.Maharage yanatosha sana.......
Ubwabwa kwa wingi
![]()
Kwa heshima ya boma mwanaume hali chakula bila nyama , yani hata chai asubuhi na nyama.
Hata mbwa wa hili boma langu hawezi kula chakula kichafu kama hichi.
kweli ccm yajenga nchi, umeona pilau hilo?