Adam 47
Member
- Jun 3, 2018
- 19
- 11
Acha upuuzi mkuu unadhani kupata D -50 ya ndalichako masihala fala wewe kama huna cha advice kaa pembeni mkuu.
Bora wewe umemjibu kistaarabu... mimi ningetukana ad kesho uyo jamaa anaongea usenge gan cjui
Acha upuuzi mkuu unadhani kupata D -50 ya ndalichako masihala fala wewe kama huna cha advice kaa pembeni mkuu.
Kuna wenziwe hicho alopata yeye hawajakipata so kila mtu anatosheka na kujisifia kwa chake.
Acha undezi dogo yaani kupata DIV II tena ya MWISHO huko unaona kama uko sawa.. pumbavu zako kakojoe ukalale... ndalichako alikuwepo tangia miaka na miaka na watu wametoboa na ONE kaliiiii...Acha upuuzi mkuu unadhani kupata D -50 ya ndalichako masihala fala wewe kama huna cha advice kaa pembeni mkuu.
Kasome coockery tena ni fani yenye soko sana duniani.nipe ushauri IPI nzr
kwa science kijana kajitahidi sanaSasa hapo ndo yametoka vizuri?
Uko sahihiKweli matokeo yamepikwa, vijana wenye nidham ndogo namna hii wanapata D za kuokota.... vijana wa aina yenu kipind cha zaman walikuwa wanataga mayai ya chuma.... au sahv zero imepewa jina jipya?
Kwa kweli maana [emoji87]Bora tu vyuo vifunguliwe muende kwa kweli.
kwa science kijana kajitahidi sana
we ulipata ngapi enzi zako?Neno kajitahidi ni sahihi, lakini siyo matokeo mazuri.
we ulipata ngapi enzi zako?
member nyingi...so ajabu ulitaga mkuu
Acha upuuzi mkuu two ni two tuu sema kama ushauriAcha undezi dogo yaani kupata DIV II tena ya MWISHO huko unaona kama uko sawa.. pumbavu zako kakojoe ukalale... ndalichako alikuwepo tangia miaka na miaka na watu wametoboa na ONE kaliiiii...
facultyUnaulizia Faculty au degree program?
Unajua maana ya Faculty? Kwa kiswahili ni kitivo ambapo ndani yake kunakuwa na degree programs tofauti tofauti. Sasa sijaelewa faculty itakusaidia nini?V
faculty
Faculty utaweza kuisoma bro??V
faculty