Faculty gani nzuri na chuo kipi bora kwa matokeo hata.

Faculty gani nzuri na chuo kipi bora kwa matokeo hata.

T
kwa science kijana kajitahidi sana
i
Unajua maana ya Faculty? Kwa kiswahili ni kitivo ambapo ndani yake kunakuwa na degree programs tofauti tofauti. Sasa sijaelewa faculty itakusaidia nini?
I mean hayo mambo ya chuo mi mgeni hebu nnipe elimu chuo gani niapply mapema na course IPI nzuri kwa cbg ili nisiwe mgeni kwenye mambo hayo ila wengine humu wanadharau sana hawajui watu tumesoma kayumba walimu hakuna tumefight .japo ni kidogo .mkuu
 
Hizi kozi zitakufaa:-
01. Agronomy
02.Wildlife management
03.Forestry
04.Animal science
05. Food Science & technology..

****kazi kwako****
 
T
i

I mean hayo mambo ya chuo mi mgeni hebu nnipe elimu chuo gani niapply mapema na course IPI nzuri kwa cbg ili nisiwe mgeni kwenye mambo hayo ila wengine humu wanadharau sana hawajui watu tumesoma kayumba walimu hakuna tumefight .japo ni kidogo .mkuu
kasome veterinary medicine pale Sua
 
T
i

I mean hayo mambo ya chuo mi mgeni hebu nnipe elimu chuo gani niapply mapema na course IPI nzuri kwa cbg ili nisiwe mgeni kwenye mambo hayo ila wengine humu wanadharau sana hawajui watu tumesoma kayumba walimu hakuna tumefight .japo ni kidogo .mkuu
Ufaulu wako sio mbaya ingawa sijajua ufaulu wa jumla upoje mwaka huu. Nakushauri jipe muda upitie application adverts kwenye vyuo mbalimbali uangalie kozi unazo-qualify. Hapa hautapata taarifa kamili.

Pitia websites hizi uangalie sifa za kujiunga kozi husika.

www.udsm.ac.Tz
www.udom.ac.Tz
www.sua.ac.Tz
www.mzumbe.ac.Tz

etc
 
Habari wana jf namshukuru Mungu matokeo yangu ya kidato ccha sita yametoka vizuri ila nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani na faculty gani ni nzuri kwa comb ya cbg kwa matokeo hata:Chem-D ,Biology-D,Geography-D,GS-D, na BAm-S.ushauri wenu muhimu sana wakuu
Chagua kozi za kilimo SUA, kozi kama agriculture general, Aquaculture, Agronomy nk. Hongera!!!
 
Back
Top Bottom