Facts check: John Shibuda is stronger than CHADEMA!

Facts check: John Shibuda is stronger than CHADEMA!

Iwapo tungekuwa tunalipia kila thread ambayo mtu anaanzisha, JF ingekuwa safi sana. Nway... kwenye msafara wa mamba huwezi kuzuia kenge...

Ili kuepukana na thread nyingi za kipuuzi naona mods wangefanya mchakato wa kulipia thread inayoanzishwa.huenda hili likaleta heshima mzito kabwela...maana imekuwa too much sasa
 
Akili ni nywele; kila mtu ana zake! kwa hiyo maoni yako yanategemea una upeo gani, unajua nini na vyanzo vyako vya habari ni vya aina gani katika mambo kama haya!?
 
Mtatunga uzi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.tekelezeni ilani msikae,acheni mchezo siku zahesabika wajameni.
 
mkakati wenu wa mwaka huu dah! kesho sijui mtakuja na lipi!??
 
Hivi vingine ni vituko utamlinganishaje mtu mmoja na chama kikuu cha upinzani chenye dhamira ya kushika dola miaka michache ijayo?Shibuda mwenyewe anakushangaa maana kama siyo CHADEMA asingekuwa bungeni sasa, pamoja na umaarufu na sifa zote ulizoziainisha
 
Bwana Kimbunga We kweli una ubongo wa tope ebu fananisha ndani ya Vyama alivyo SHIBUDA kwa upande wa CHADEMA na Lowasa, Chenge, Rostam walivyo katika CCM we unafikiri nani kati ya hao alitakiwa kufukuzwa kwenye chama na chama kipi kati ya CHADEMA na CCM ambacho kimeishawahi kutoa matamko ya kufukuza wanachama na hakijafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha kweli nimeamini ukitaka ugomvi na PRO-CHADEMA yaani mguso Slaa utaona Povu likiwatoka....lolz
 
You want facts ? Please ask Mr Shibuda himself ,he knows each and every things , atakueleza ukubwa wa CHADEMA , mkumbushe tu vile alivyosingiziwa mauaji wakati wa kampeni za Ubunge kule Maswa 2010 , CHADEMA ilifanya nini ? Mabere Marando alifanya nini ? na je nguvu ya umma ilifanya nini ? Akikujibu maswali haya , njoo uandike tena .
 
Pumbaaf!
Tunasema Tanesco wamesema hawawezi kujiendesha huko, option waliyobaki nayo ni kupandisha bei ya umeme kwa 100%, halafu wewe unaleta habari za danguro hapa!

Akili za ccm ni kama za pit-latrine.

Seenz kabisa!

Tukisema hizi akili ndio za wana cdm wote tutakuwa tumekosea ? kwani baada yakujibu hoja unamwaga matusi.
 
Erythrocyte Kamati kuu ya CHADEMA iliisha-mshindwa Shibuda, wewe ambae hata hujulikani CHADEMA unataka kutuambia nn ?
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine mkikosa cha kuandika mnaandika hata utumbo,tutausomaje? Umetumwa au wewe ndo Magale Shibuda unatuzingua humu? Dawa yako ni 2015 utajuta kuropoka maneno kama mlevi!
 
"Ni upuuzi kujadili hoja ya kipuuzi"By Dr.Kitila Mkumbo,Raia Mwema,pp 8,dated 12/12/2012.
 
Back
Top Bottom