Facts check: John Shibuda is stronger than CHADEMA!

Facts check: John Shibuda is stronger than CHADEMA!

Bwana Kimbunga Shibuda yupo ktk microwave oven ya CHADEMA.uzuri wa microwave ni kwamba hakuna flame, na Kitu kinaanza iva tokea ndania baada ya ku nyonya mionzi, kupunguza energy na mionzi kushuka frequency na kuwa infrared ambayo ndio inapika.

Taratibu Shibuda ataanza iva kwa nje, na bishara itakuwa imekwisha.CCM ni wajinga sana na hawawezi mwokoa kwa vile hata akipiga kelele hawasikii kuwa anaungua kwa ndani.By the time wanamowna anabadilika rangi basi kazi takuwa .imekwisha hata umeme ukizima joto landnai alitakuwa linaivisha nje taratibu.Na kipindi hicho nyumba ya CCM itakuwa ikiwaka na hawatakuwa na muda wa kulipa madeni kw ahwa vibaraka wala kumwokoa mtu.

kwa sasa tutakachoon jinsi anabadili mikao as if anataka adjust kitu,ila hajui wapi ipo button
 
Last edited by a moderator:
upuuzi mtupu!

kama nape anawalipa kwa haya basi CCM mmekwisha kabisa hata fikra kapa!
 
CHADEMA wapo makini mpaka raha. Shibuda yupo busy na longolongo but kama hawamuoni vile. Yaani hata muda wa kumjibu hawana..! Lengo lake lilikuwa ni kuanzisha league na wakuu wa chadema in order to diverge the focus cha ajabu anashangaa kwenye huo mpambano yupo peke yake anatoa mapovu mithili ya wewe mwenye maada.!
 
Tukisema hizi akili ndio za wana cdm wote tutakuwa tumekosea ? kwani baada yakujibu hoja unamwaga matusi.

wewe nawe kumbe ni zumbukuku tu.
Sasa unataka 2jadili hoja gan hapo kama sio ujuha na uzuzu wenu tu?
 
Rudi darasani kajifunze kujenga hoja ndio uje hapa jamvini.
 
Abdul Kinana is stronger than CCM, amewahi kutorosha wanyama pori walio hai na makontena ya pembe za ndovu, lakini CCM na serikali yake wamemuogopa na hadi leo hawajamkamata kwa kuwa KINANA ni stronger than CCM...

Na kwa woga wamempa cheo cha katibu mkuu wa Chama chao
Mkuu, usiwasahau wababe wengine dhidi ya CCM, hawa ni pamoja na mheshimiwa Chenge mzee wa visenti vya rada, Lowasa wa Richimond, hawa waliitwa magamba ya kung'olewa! thubutu yake mpaka leo wanaendelea kudunda na kuogopwa ile mbaya!
 
Erythrocyte Kamati kuu ya CHADEMA iliisha-mshindwa Shibuda, wewe ambae hata hujulikani CHADEMA unataka kutuambia nn ?

Ndugu Genius Brain hebu tafuta majibu ya maswali yangu kwanza , acha kupaparika kama kuku aliyekatwa kichwa ! ukipata majibu njoo tena , na nina hakika hautarudi tena .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom