Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
Kwa uchunguzi wangu wa miezi kadhaa nimegundua,
Ukiwa na msichana mzuri basi hatokuwa na pesa.
Ukiwa na msichana mwenye pesa hatokuwa mzuri.
Ukiwa na msichana mwenye pesa na mzuri basi unaambulia mateso,maumivu,masimango na vitu vingine ka hivyo.
Hata kwa wanaume pia hali ni hiyo hiyo.
Know love know pain, no heart no hurt, no research no right to speak
check it out.